Natangaza kumuunga mkono Ndugai. Ametimiza wajibu wake

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
Mimi kama Mtanzania natangaza Kumuunga kauli ya Ndugai. Kwa mambo yafuatayo.

1. Lazima tujitathimi tunataka kukopa kwa nini? Deni linapozidi kukua ni lazima bunge na spika wakemee Hilo.

2. Hatuwezi kukopa kwa ajili ya Kujenga Madarasa na Vyoo na Kununua madawati. Hivi ni vitu visivyo produce so ilikuwa inawezekana kabisa kujibana wenyewe huku tukijenga hayo Madarasa. Kwanza TOZO mnapeleka wapi? Maana kwenye budget mlieleza Sana.

3. Spika akisema ni sauti ya wananchi. Sisi wananchi tunamuelewa. Nyie mnao kula kuku kwa mlija muwe mnauliza kwa nini sipika maeyasema hayo. Kuna wengine wanabwabwaja tu hata hawajui kama hela za UVIKO 19 ni za msaaa ama za mkopo.

Mjooni na matusi. Na Kila kitu. Ila Ndugai katimiza wajibu wae.
 
Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi bwana James Mbatia akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Leo hii ametolea ufafanuzi wa mambo mbalimbali yaliyojitokeza kwenye hotuba ya Rais na kauli ya Spika Job Ndugai

Mosi, Suala la akiba ya pesa za kigeni ameiomba serikali wabadili kauli yao ya kuwa tuna dola za marekani bilioni elfu sita yaani kimahesabu ni trilioni sita, China tu kama Taifa lenye pesa nyingi za kigeni wana dola za marekani trilioni tatu tu

Mheshimiwa Mbatia amesisitiza mahesabu ni tatizo kubwa sana kwa viongozi wetu kwani hata pesa za mkopo wa uviko wanazojengea vyoo vya wanafunzi wanamshukuru Rais kwa msaada wakati hilo ni deni la Taifa, Hata Rais akiondoka kama alivyoondoka Magufuli na deni kubwa la Taifa, Deni la Taifa ameliacha kwa wananchi na serikali yao

Wananchi ndio watatakiwa kulipa madeni haya tena kwa pesa za kigeni, Hivyo James Mbatia anashangaa Rais kusema Tutaendelea kukopa bila kuangalia nani atalipa madeni haya ambayo pesa zake hazizalishi kitu, Mbatia amesisitiza ni lazima kuangalia uwezo wa wananchi kulipa madeni hayo

James Mbatia, Ni aibu kwa viongozi karne hii ya ishirini na moja kujenga vyoo kwa pesa za mkopo wa uviko halafu wanaandika kwenye ukuta wa Choo "Ahsante uviko 19" kama jambo la Furaha kumbe ni vichekesho

James Mbatia, Ni aibu viongozi wa serikali toka ngazi ya Taifa mpaka kata kila wakati kusema ahsante Rais umetoa pesa za flyover, mara barabara mara afya wakati ni pesa za watanzania na hata kama ni mkopo ni deni la watanzania. Rais yeye hana pesa za kujenga barabara au flyovers labda kama Rais anauza madawa ya kulevya

Pili, Ni upunguani umeshajijenga na tunazidi kuharibu watoto wa Taifa hili kutokana na upunguani wa viongozi wetu ambao wanashindwa kuelewa maana ya mkopo na deni la Taifa, James Mbatia amesisitiza baada ya watu kujibu hoja za Job Ndugai wao wanatafuta personal attack kwa Ndugai

James Mbatia, Anasisitiza upunguani wa viongozi ndio unapelekaea watu kushindwa kujibu hoja na kukimbilia kumtukana Job Ndugai, Tatizo la upunguani linawafanya viongozi washindwe kupima hoja kama Job Ndugai amekosea, Je usahihi ni upi amehoji bwana Mbatia

Tatu, James Mbatia amesisitiza somo la hesabu hata Bungeni ni tatizo kwa wabunge wengi sana, Ndio maana mambo yanaposomwa kuhusu hesabu wengi hawaelewi, James Mbatia amesisitiza Kuwa viongozi wanaandaliwa
 
“The rich rule over the poor and borrower is slave to the lender”…huu mstari uko kwa biblia

Jamani imekuwa mashindano kukopa…

Tunatakakiwa kupractice contentment, to delay pleasure ili tufaidike baadae…sasa haya madeni ambayo hatuzalishi tutalipa na nini…wakati ni mambo mengi tungefanya kwa rasilimali tulizo nazo tujenge uchumi wetu kwa nguvu zetu…hii haraka ya maendeleo wakati uwezo wakulipa una maswali mengi kuliko majibu..watu wanapiga makofi kana kwamba wanapewa bure, wakati mtu huyo anazikwepa tozo na kodi kwa nguvu zote…

Ukiwa mtumwa na baraka tunapishana nazo maana akili zimefungwa na maboss wanao dictate terms…
 
Alikuwepo shetani ikulu....by Askofu Mwingira.

Hivi mlitaka Ndugai aseme nn kipindi hicho? Mlitaka aseme halafu anusurike kuuawa mara 3 kama Askofu Mwingira?
 
Mimi kama Mtanzania natangaza Kumuunga kauli ya Ndugai. Kwa mambo yafuatayo.

1. Lazima tujitathimi tunataka kukopa kwa nini? Deni linapozidi kukua ni lazima bunge na spika wakemee Hilo.

2. Hatuwezi kukopa kwa ajili ya Kujenga Madarasa na Vyoo na Kununua madawati. Hivi ni vitu visivyo produce so ilikuwa inawezekana kabisa kujibana wenyewe huku tukijenga hayo Madarasa. Kwanza TOZO mnapeleka wapi? Maana kwenye budget mlieleza Sana.

3. Spika akisema ni sauti ya wananchi. Sisi wananchi tunamuelewa. Nyie mnao kula kuku kwa mlija muwe mnauliza kwa nini sipika maeyasema hayo. Kuna wengine wanabwabwaja tu hata hawajui kama hela za UVIKO 19 ni za msaaa ama za mkopo.

Mjooni na matusi. Na Kila kitu. Ila Ndugai katimiza wajibu wae.

Ndugai yupo sawa kabisa April hadi December umekopa zaidi trillioni kwa mwezi. Kwa hii kasi hadi 2025 tunatumia zaidi ya nusu ya bajeti kulipa madeni.

Pesa za maendeleo, mishahara tunashindwa kulipa. Hawa watasepa wakiwa na mabilioni kwenye account zao. Ni mimi, wewe, mtoto wako atayetozwa kodi, kukosa huduma muhimu, mshahara.

Inapidi tupunguze kasi. Tozo,kodi lukuki zinafanya kazi gani? Bana matumizi ya Ikulu, wizara , serikalini.

Kuhusu vyoo, madarasa hatuhitaji mikopo, tuhamasishe watu wetu kujitolea, nguvu zao, utaalamu wao, pesa zao,kwa hali na mali.

Haiwezekani tuna nguvu kazi ya kutosha, hatuwezi kuitumia kuhamimisha vijana, wazee, wakinamama, Watanzania wote.

Vijana watapewa posho. Personal nimetoa mchango kumalizia madarasa, hospitali. Pia kwa muda wangu kusaidia ujenzi.

Sioni kwanini hivi vitu vinashindikana. Pesa za mikopo iende kwenye uzalishaji.
 
Sahihi kabisa. Tatizo unaweza ukakuta Rais anazungukwa na vilaza bila yeye kujua. Afu ndo wanafanya afanye mambo ya ajabu.
 
ndugai kwa hili hata mimi nimemwelewa sana, sema wale wenzake hawajamwelewa wanamshambulia tu
 
Alikuwepo shetani ikulu....by Askofu Mwingira.

Hivi mlitaka Ndugai aseme nn kipindi hicho? Mlitaka aseme halafu anusurike kuuawa mara 3 kama Askofu Mwingira?
[/QUOTE

Jikite kwenye point mkuu.

Ndugai hajakataza kukopa. Shida tunakopa kwa ajili ya nini?

Tunakopa kwa ajili ya vitu visivyoweza kusaidia kulipa deni? Madarasa tungetoa pesa za mafundi tu wananzengo wakamaliza mchezo.
 
Kama tozo ya buku tu Tena Ni kurahisishiwa malipo ya Kodi ya jengo, MLI LALAMIKA SEMBUSE
KUCHANGIAA UJENZI WA MADARASA N.K? Wakati mwingine tuache undumila ku Saba
 
Sahihi kabisa. Tatizo unaweza ukakuta Rais anazungukwa na vilaza bila yeye kujua. Afu ndo wanafanya afanye mambo ya ajabu.

Ukiangalia Mawaziri wote wa wizara muhimu walikuwa UVCCM, ni watoto makada au wamepata nafasi kwa ajiri ya kuipigania CCM, sio taifa. hawana uchungu, uzoefu kwenye sekta binafsi, hawajali maskini.

Angalia wizara ya fedha, nishati, maji, uwekezaji na zingine nyingi.

Muhimu kuliko zote ni Fedha una kilaza mkuu pale, ya pili Nishati, Maji, vilaza wengine. Kilimo unakubali vipi bei za pembejeo kuongezeka, bora ujiuzulu.

Wachache wamejitokeza Ndugai, Polepole, Mbatia, Mbowe kuhusu katiba mpya, kuongea ukweli. Wanahitaji kuungwa mkono.
 
Mimi kama Mtanzania natangaza Kumuunga kauli ya Ndugai. Kwa mambo yafuatayo.

1. Lazima tujitathimi tunataka kukopa kwa nini? Deni linapozidi kukua ni lazima bunge na spika wakemee Hilo.

2. Hatuwezi kukopa kwa ajili ya Kujenga Madarasa na Vyoo na Kununua madawati. Hivi ni vitu visivyo produce so ilikuwa inawezekana kabisa kujibana wenyewe huku tukijenga hayo Madarasa. Kwanza TOZO mnapeleka wapi? Maana kwenye budget mlieleza Sana.

3. Spika akisema ni sauti ya wananchi. Sisi wananchi tunamuelewa. Nyie mnao kula kuku kwa mlija muwe mnauliza kwa nini sipika maeyasema hayo. Kuna wengine wanabwabwaja tu hata hawajui kama hela za UVIKO 19 ni za msaaa ama za mkopo.

Mjooni na matusi. Na Kila kitu. Ila Ndugai katimiza wajibu wae.
Leo kulikuwa na mjadala ZOOM wa kujadili usimamizi wa miradi, ila kilichoongelewa na baadhi ya wasomi ni majanga matupu, yaani kwa ufupi nchi hii haina wasomi, yaani hao Ma Dr na Ma Professor yaani ni wanafiki na waongo waongo wanaongea kwa lengo eti la kumfurahisha rais tu. Yaani mtu badala aongelee namna bora ya usimamizi wa miradi ili tuweze kulipa madeni eti professor zima au Dr zima linajikita kusema eti deni ni zuri sasa nani hajui??? Yaani kuna Professor mmoja wa UDSM anaitwa Semboje yaani huyo eti ni nguli wa uchumi ila alichomalizia ndiyo kaniacha hoi, eti ana mkandia Ndugai kwa vijembe. In short hii nchi inahitaji ukombozi wetu sisi vijana, hawa wazee hawana maana kabisa, maana wao wanawaza pensio zao tu.
 
Ayubu hana moral authority ya kusema anayosema wakati huu
 
Ndugai yupo sawa kabisa April hadi December umekopa zaidi trillioni kwa mwezi. Kwa hii kasi hadi 2025 tunatumia zaidi ya nusu ya bajeti kulipa madeni.

Pesa za maendeleo, mishahara tunashindwa kulipa. Hawa watasepa wakiwa na mabilioni kwenye account zao. Ni mimi, wewe, mtoto wako atayetozwa kodi, kukosa huduma muhimu, mshahara.

Inapidi tupunguze kasi. Tozo,kodi lukuki zinafanya kazi gani? Bana matumizi ya Ikulu, wizara , serikalini.

Kuhusu vyoo, madarasa hatuhitaji mikopo, tuhamasishe watu wetu kujitolea, nguvu zao, utaalamu wao, pesa zao,kwa hali na mali.

Haiwezekani tuna nguvu kazi ya kutosha, hatuwezi kuitumia kuhamimisha vijana, wazee, wakinamama, Watanzania wote.

Vijana watapewa posho. Personal nimetoa mchango kumalizia madarasa, hospitali. Pia kwa muda wangu kusaidia ujenzi.

Sioni kwanini hivi vitu vinashindikana. Pesa za mikopo iende kwenye uzalishaji.

Mkuu watu wengi si wepesi kuchangia maendeleo… JPM alivyokuwa anawabana wenye nazo ilikuchangia maendeleo walisema ni jambazi dikteta…kubana matumizi kwetu ni maumivu hicho kitu sio rafiki kwenye masikio ya watu…vita kubwa tena..basi tuchape kazi maneno na vitendo haviendani…fukuza machinga, mfumuko wa bei kila kona kwenye mbolea, sijui nini ilimradi vurumai…

Basi tusubirie labda siku akili zitatukaa sana maana siku hizi common sense is rare
 
Sahihi kabisa. Tatizo unaweza ukakuta Rais anazungukwa na vilaza bila yeye kujua. Afu ndo wanafanya afanye mambo ya ajabu.
Ni kwa nini ang'ang'ane kufanya kazi na vilaza?
Halafu mtu mwenye weledi kumsoma kilaza inachukua muda mfupi sana,
Maana maongezi,mipango na vipaumbele vyake vitakupa majibu kuwa huyo ni mtu wa aina gani
 
Leo kulikuwa na mjadala ZOOM wa kujadili usimamizi wa miradi, ila kilichoongelewa na baadhi ya wasomi ni majanga matupu, yaani kwa ufupi nchi hii haina wasomi, yaani hao Ma Dr na Ma Professor yaani ni wanafiki na waongo waongo wanaongea kwa lengo eti la kumfurahisha rais tu. Yaani mtu badala aongelee namna bora ya usimamizi wa miradi ili tuweze kulipa madeni eti professor zima au Dr zima linajikita kusema eti deni ni zuri sasa nani hajui??? Yaani kuna Professor mmoja wa UDSM anaitwa Semboje yaani huyo eti ni nguli wa uchumi ila alichomalizia ndiyo kaniacha hoi, eti ana mkandia Ndugai kwa vijembe. In short hii nchi inahitaji ukombozi wetu sisi vijana, hawa wazee hawana maana kabisa, maana wao wanawaza pensio zao tu.

Hakuna hata mstari mmoja kwa biblia ambao unasema deni ni kitu kizuri…huyo mchumi wa wapi…

Hata bibi yangu hakuenda shule ila anawashinda alikuwa ananiambia mambo matatu…
*Ishi ndani ya bajeti
*Kataa madeni
*Weka akiba na uwekeze…

Kweli common sense is rare

#kataawahuni
 
Back
Top Bottom