hahaha Afrodenz kumbe ushaolewa ..Ivuga katokea wapI?
hapo kaguna ujue na hakuongea neno lolote, inabidi sasa tujue huo mguno unamaanisha nini
ushapata kadi mpaka sasa ivi bila hata mchango
acha mzaha speaker,kwanza wewe s upo dom?
Speaker umechelewa. Mambo yote yameshatayarishwa. Refer kauli ya Ivuga alipotahadharisha:
"...na ujuwe, kuwahi sio kupata"
Mchango wangu mdogo huu hapa:
http://www.youtube.com/v/AHvyJmvKwhQ?version=3
hahaha Afrodenz kumbe ushaolewa ..Ivuga katokea wapI?
ina maana ushafanya na harusi?Mambo hua yana haribika hata siku ya harusi,....
Haiwezekani afro afanye harusi mbili na talaka sijatoa
ina maana ushafanya na harusi?
Yeah,toka mwaka jana!...umechelewa sana
Hahahahahahahah
Jamani jamani Ivunga na Speaker
acheni kunichekesha jamani khaaaa
Haki ya walakhi mimi nikifukuzwa kazi
mmoja wenu itabidi anioe kweli mmhhh
endeleeni tu kunichekesha hahahahahahahah mmmhh
ha-ha- ha umejibiwa hapa chini so pingamizi lako halina mashiko , hadi ss ivi ushajitoa kwenye reli we endelea kula country music zako tu hapoYeah,toka mwaka jana!...umechelewa sana
ufukuze usifukuzwe nshakuchukuaHahahahahahahah
Jamani jamani Ivunga na Speaker
acheni kunichekesha jamani khaaaa
Haki ya walakhi mimi nikifukuzwa kazi
mmoja wenu itabidi anioe kweli mmhhh
endeleeni tu kunichekesha hahahahahahahah mmmhh
acha kuleta dream zako hapa, tangu lini mtu anaweza ku-konverte ndoto kwenda kwenye ukweli? si wote tungekuwa tuna drive ma infinity na makadilak n ma jaguar?
hahaha ,ota umekufa basi au ota uko bachelaDream,..
mchana saivi mkuu!
Sikutanii ndo ukweli wenyewe huo!
Afu kwangu mimi kila ninacho ota hutokea ndo maana naota mara chache sana!
Siwezi kuota kua nimelala wakati nimelala kweli,naota kwenda mbele na nikiamka nasonga kweli
ha-ha- ha umejibiwa hapa chini so pingamizi lako halina mashiko , hadi ss ivi ushajitoa kwenye reli we endelea kula country music zako tu hapo
ufukuze usifukuzwe nshakuchukua
Nikiota kufa anakua kafa mtu kweli,niruhusu nikuote hivo leo hahahahaha ,ota umekufa basi au ota uko bachela
FL1 hapa sijakupata vizuri, mimi huwa sina hulka ya kumpiga mwanamke kama ulikuwa unamaanisha hivyo, kwanza akija kukuhadithia jinsi nitakavyomtunza hata wewe mwenyewe utamtamani. au unaniruhusu niorodheshe baadhi?harooo pingamizi sina ,ila usiende kumtenda mtoto wa watu
phahaha, mkuu pingamizi lako tushajua halina mashiko, ni la kutunga pphahaha!!Huyo mvamizi tu wa ndoa za watu
sio fresh utani kama huuNikiota kufa anakua kafa mtu kweli,niruhusu nikuote hivo leo haha
hahahahahahahahahhaa
mbavu zangu jamani daahh
Embu acheni hivyo...
kha mnamaneno nyie mmmhhh
Hii ni typing error sio?
hahahahah!! mkuu umeshapiga mbizi kwenye lami(mirage) bwah ah ha ha ha!!!! tumeshakushtukia
soon kadi za arusi zitaanza kutoka, nangojea tu usaini kuwa ulikuwa unatania
hahahahahahahahahhaa
mbavu zangu jamani daahh
Embu acheni hivyo...
kha mnamaneno nyie mmmhhh