30P
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 7,454
- 7,934
Daah ..this is very hurtfulHili alishalisema zamani kuwa Ben aliachwa aliwe na mamba kisiwani
kuacha chaputa ni ngumu sana,2020 hiyoooooNimekuwa naandika Sana kuhusu mambo ya siasa,
Nimekua napewa baadhi ya tetesi nazirusha hapa,
Nimekuwa na Mlengo wa Chama Cha Mapinduzi kwa Muda mrefu
Kuna muda nimeshabikia mambo ya Kinyama yaliyofanywa na Chama changu cha Mapinduzi
Nayakumbuka Matukio
1.Nimeshiriki sana Kuiba kura za wapinzani
Nimeshiriki Mafinga,Bukoba vijijini, Nimeshiriki Hata kura za kitaifa, mbinu nyingi CCM wanazitumia kuiba kura,
2.Nimeshirika Cyber war kwa kipindi cha Kampeni za Magufuli, na kushiriki kuwachafua viongozi wa upinzani
3.Nitaandika Nitaandika mengi ila naishia hapa kwa sasa
Suala linaloniuma na Kujuta ni la Mheshimiwa Lissu Kupigwa Risasi nikafurahia, lakin kadri muda ulivyopita nika kaa na kuwaza kwamba tuweke chuki pembeni tutangulize ubinadamu
Sitashiriki Kampeni yeyote ile
Sitashiriki Siasa kivyovyote vile
Nitabakia kuwa Mtazamaji tu
Britannica,
Vladivostok, Russia
Nimekuwa naandika Sana kuhusu mambo ya siasa,

Kiburi cha uhai hushinda hofu ya hatmaDaah ..this is very hurtful
Sometimes nawaza, unafanya haya yote, siku moja unajikuta upo mwenyewe kwenye jeneza, umewekewa pamba kwenye matundu ya pua na midomoni, unapuliziwa pafyum kusudi usinuke, halafu upo mwenyewe, umeacha kila kitu duniani, damu za watu, dhulma za watu zinakuangalia tu ulivyo mwenyewe kwenye jeneza, unaenda zako huyo unaingizwa mavumbini japo sanasa utavalishwa suti, unamwagiwa vumbi unafukiwa ..biashara imeisha. Wapi ubabe wako duniani, dhulma zako duniani, uuaji wako duniani, unafiki wako duniani, umwambafai wako duniani uko wapi wakati huo uko 6 feet ndani ya shimo
Sent using Jamii Forums mobile app
ShitebaTutajie basi waliompiga Lissu risasi mkuu... Hata kwa codes tu! Hakika utasamehewa dhambi zako.
Proffesor Jay_Nang'atuka.
Nimekuwa naandika Sana kuhusu mambo ya siasa,
Nimekua napewa baadhi ya tetesi nazirusha hapa,
Nimekuwa na Mlengo wa Chama Cha Mapinduzi kwa Muda mrefu
Kuna muda nimeshabikia mambo ya Kinyama yaliyofanywa na Chama changu cha Mapinduzi
Nayakumbuka Matukio
1.Nimeshiriki sana Kuiba kura za wapinzani
Nimeshiriki Mafinga,Bukoba vijijini, Nimeshiriki Hata kura za kitaifa, mbinu nyingi CCM wanazitumia kuiba kura,
2.Nimeshirika Cyber war kwa kipindi cha Kampeni za Magufuli, na kushiriki kuwachafua viongozi wa upinzani
3.Nitaandika Nitaandika mengi ila naishia hapa kwa sasa
Suala linaloniuma na Kujuta ni la Mheshimiwa Lissu Kupigwa Risasi nikafurahia, lakin kadri muda ulivyopita nika kaa na kuwaza kwamba tuweke chuki pembeni tutangulize ubinadamu
Sitashiriki Kampeni yeyote ile
Sitashiriki Siasa kivyovyote vile
Nitabakia kuwa Mtazamaji tu
Britannica,
Vladivostok, Russia
Mungu akubariki Mkuu
Hakuna atendaye maovu na asijutie matendo yake.......
Pamoja na kupitia mateso ya hali ya juu, Chadema ni mpango wa Mungu na hatimaye itaibuka mshindi
Semea huku huku Jf, ukiongea nje hivyo wata....
mkuu dhambi uongo ni mbaya sana haitakuacha salamaKama umestaafu ni jambo jema, ila nisikuone kule twitter ukiiteta au kukisema tena CCM ukishirikiana na Kigogo...
Halafu uwache unafiki mbona inajulikana wazi waliompiga lissu risasi ni wana chadema wenyewe...
Kuhusu uibaji wa kura huo ni uzushi kama uzushi mwingine, watanzania bado wana imani na CCM
Sent using Jamii Forums mobile app