Natangaza rasmi kuachana na masuala ya Siasa, nina ya kujutia mengi

Niulizwe na nani zaidi ya kutumika vitisho kuficha ukweli. Huo uovu sio wa kutafuta.

Dunia ya leo tunaishi kwa evidence sio hadithi za kina Bulicheka. CCM wapo madarakani nyie mnaganga njaa, sasa unataka evidence ipi mkuu? Huyo Mbowe ndio anaepiga magoti kuomba maridhiano wakati CCM wanawaangalia tu kwa sababu majibu yapo kwenye sanduku la kura. Uchaguzi wa mwisho mliweka mpira kwapani, sasa unafikiri mna chama kumbe mna ukoo wa chama cha kikabila.
 
Evidence please. Watanzania ni mabingwa wa umbea tukisema utoe evidence lakini huna. Ccm inashinda kwa kishindo all the time

Sent using Jamii Forums mobile app

Evidence ni za kutafuta? Hakuna kisichofahamika. Hakuna ccm ya kushinda kwa kishindo miaka hii, sana sana uhayani, ukatili na figisu tena vikiratibiwa na vyombo vya dola ndio huwafanya ccm kutangazwa washindi.
 
Dunia ya leo tunaishi kwa evidence sio hadithi za kina Bulicheka. CCM wapo madarakani nyie mnaganga njaa, sasa unataka evidence ipi mkuu? Huyo Mbowe ndio anaepiga magoti kuomba maridhiano wakati CCM wanawaangalia tu kwa sababu majibu yapo kwenye sanduku la kura. Uchaguzi wa mwisho mliweka mpira kwapani, sasa unafikiri mna chama kumbe mna ukoo wa chama cha kikabila.

Huna hoja bora upige kimya, ule uliopita sio uchaguzi, bali ni kipimo cha ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Wewe endelea kuwadanganya makanyaboya wenzio kule uchagani lakini werevu wanakukodolea macho tu. Ati ujinga wa mtu mweusi. Wewe ukiona ngozi nyeupe tu unatetemeka na kuabudu. Grow up and be a person of your own mind and plan to develope yourself and family. Unafikiri kuna neema kutoka kwa wazungu!
 
Narudia tena, ule uliopita sio uchaguzi bali ujinga wa mtu mweusi kwenye uchaguzi.
 
Acha kumhusisha Mungu na mambo yenu ya siasa za ovyo ovyo. Umeweka bandiko refu kama unalazimisha tuamini kuwa Mungu wa Abraham Isaka na Yakobo ana upande wa siasa na upande huo ni ule ulio wewe. Siasa za kibongo zina watu wa ovyo kila upande including hao wachawi uliowasema.
Mungu hasimami na chama bali husimama na wenye haki. Watu wanaojinyenyekesha kwake na wanatambua kuwa matendo mema na ya haki dhidi ya jirani zao ndiyo amri iliyo kuu.
 
Back
Top Bottom