Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Kila imani ina ibada ya TOBA ...hongera sana
Hongera kwako ..mimi nilikiacha hicho Chama kimya kimya ...sipendi kuonea binadamu kisa ........siasa.Nimekuwa naandika Sana kuhusu mambo ya siasa,
Nimekua napewa baadhi ya tetesi nazirusha hapa,
Nimekuwa na Mlengo wa Chama Cha Mapinduzi kwa Muda mrefu
Kuna muda nimeshabikia mambo ya Kinyama yaliyofanywa na Chama changu cha Mapinduzi
Nayakumbuka Matukio
1.Nimeshiriki sana Kuiba kura za wapinzani
Nimeshiriki Mafinga,Bukoba vijijini, Nimeshiriki Hata kura za kitaifa, mbinu nyingi CCM wanazitumia kuiba kura,
2.Nimeshirika Cyber war kwa kipindi cha Kampeni za Magufuli, na kushiriki kuwachafua viongozi wa upinzani
3.Nitaandika Nitaandika mengi ila naishia hapa kwa sasa
Suala linaloniuma na Kujuta ni la Mheshimiwa Lissu Kupigwa Risasi nikafurahia, lakin kadri muda ulivyopita nika kaa na kuwaza kwamba tuweke chuki pembeni tutangulize ubinadamu
Sitashiriki Kampeni yeyote ile
Sitashiriki Siasa kivyovyote vile
Nitabakia kuwa Mtazamaji tu
Britannica,
Vladivostok, Russia
Kama umestaafu ni jambo jema, ila nisikuone kule twitter ukiiteta au kukisema tena CCM ukishirikiana na Kigogo...
Halafu uwache unafiki mbona inajulikana wazi waliompiga lissu risasi ni wana chadema wenyewe...
Kuhusu uibaji wa kura huo ni uzushi kama uzushi mwingine, watanzania bado wana imani na CCM
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo umetubu? Hatujaona neno 'samahani'!
Wata muua huyu.Nimekuwa naandika Sana kuhusu mambo ya siasa,
Nimekua napewa baadhi ya tetesi nazirusha hapa,
Nimekuwa na Mlengo wa Chama Cha Mapinduzi kwa Muda mrefu
Kuna muda nimeshabikia mambo ya Kinyama yaliyofanywa na Chama changu cha Mapinduzi
Nayakumbuka Matukio
1.Nimeshiriki sana Kuiba kura za wapinzani
Nimeshiriki Mafinga,Bukoba vijijini, Nimeshiriki Hata kura za kitaifa, mbinu nyingi CCM wanazitumia kuiba kura,
2.Nimeshirika Cyber war kwa kipindi cha Kampeni za Magufuli, na kushiriki kuwachafua viongozi wa upinzani
3.Nitaandika Nitaandika mengi ila naishia hapa kwa sasa
Suala linaloniuma na Kujuta ni la Mheshimiwa Lissu Kupigwa Risasi nikafurahia, lakin kadri muda ulivyopita nika kaa na kuwaza kwamba tuweke chuki pembeni tutangulize ubinadamu
Sitashiriki Kampeni yeyote ile
Sitashiriki Siasa kivyovyote vile
Nitabakia kuwa Mtazamaji tu
Britannica,
Vladivostok, Russia
Picha weka nawe tukuone
Picha weka nawe tukuone
Huna lolote. Lete evidence.
Wewe ni Chadema unayetaka kuvuta attention za watu hapa but acha kuchafua chama chetu. Ccm 2015 ilishinda mchana kweupe kabisa bila kuiba. Tuache uongo kuhadaa wananchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuwa naandika Sana kuhusu mambo ya siasa,
Nimekua napewa baadhi ya tetesi nazirusha hapa,
Nimekuwa na Mlengo wa Chama Cha Mapinduzi kwa Muda mrefu
Kuna muda nimeshabikia mambo ya Kinyama yaliyofanywa na Chama changu cha Mapinduzi
Nayakumbuka Matukio
1.Nimeshiriki sana Kuiba kura za wapinzani
Nimeshiriki Mafinga,Bukoba vijijini, Nimeshiriki Hata kura za kitaifa, mbinu nyingi CCM wanazitumia kuiba kura,
2.Nimeshirika Cyber war kwa kipindi cha Kampeni za Magufuli, na kushiriki kuwachafua viongozi wa upinzani
3.Nitaandika Nitaandika mengi ila naishia hapa kwa sasa
Suala linaloniuma na Kujuta ni la Mheshimiwa Lissu Kupigwa Risasi nikafurahia, lakin kadri muda ulivyopita nika kaa na kuwaza kwamba tuweke chuki pembeni tutangulize ubinadamu
Sitashiriki Kampeni yeyote ile
Sitashiriki Siasa kivyovyote vile
Nitabakia kuwa Mtazamaji tu
Britannica,
Vladivostok, Russia
So sad, some JF members wanasikitisha sana. Matatizo yao binafsi hayawezi kuwa issue ya kitaifa.
Sijawahi shiriki mauaji ila niliwahi kushiriki mtego wa kuwajua wanaomtukana Rais mtandaoni
Ndiyo kwasababu pamoja na Umafia wa CCM bado upinzani nao hawajawa serious kwenye ishu za kuongoza, kila siku hao hao kina Mbowe
Swali la nyongeza akina Mbowe waliwahi kupewa fursa sawa ya uongozi wakashindwa? Hii ukiondoa hujuma zinazosumbua dhamiri yakoNdiyo kwasababu pamoja na Umafia wa CCM bado upinzani nao hawajawa serious kwenye ishu za kuongoza, kila siku hao hao kina Mbowe
Naheshimu maamuzi yako lakini hata hivyo ,Uamuzi wako umechelewa sana.
Vipi Mr Azzory Gwanda bado mzima na wengineo wengi mliowapoteza.
Vumilia tu, huyu jamaa kaamua kukiri ukweli ambao ww hupendi uwe wazi. Ila ujue sio kila mtu anaweza kuendelea kuishi kwa kushabikia uovu na uhayawani.
Ukiulizwa huo uovu na uhayawani unatangatanga tu.