Sema buku saba za malipo ya kusafisha mikojo zimeota mbawa mmekopwa mpaka basi.Mkuu nimestaafu

Nimekuwa naandika Sana kuhusu mambo ya siasa,
Nimekua napewa baadhi ya tetesi nazirusha hapa,
Nimekuwa na Mlengo wa Chama Cha Mapinduzi kwa Muda mrefu
Kuna muda nimeshabikia mambo ya Kinyama yaliyofanywa na Chama changu cha Mapinduzi
Nayakumbuka Matukio
1.Nimeshiriki sana Kuiba kura za wapinzani
Nimeshiriki Mafinga,Bukoba vijijini, Nimeshiriki Hata kura za kitaifa, mbinu nyingi CCM wanazitumia kuiba kura,
2.Nimeshirika Cyber war kwa kipindi cha Kampeni za Magufuli, na kushiriki kuwachafua viongozi wa upinzani
3.Nitaandika Nitaandika mengi ila naishia hapa kwa sasa
Suala linaloniuma na Kujuta ni la Mheshimiwa Lissu Kupigwa Risasi nikafurahia, lakin kadri muda ulivyopita nika kaa na kuwaza kwamba tuweke chuki pembeni tutangulize ubinadamu
Sitashiriki Kampeni yeyote ile
Sitashiriki Siasa kivyovyote vile
Nitabakia kuwa Mtazamaji tu
Britannica,
Vladivostok, Russia
Kabla hujaacha siasa,jaribu kuirudisha haki ya wale ulishiriki kuwaibia,hata uislamu unasema ivyo kwani mandhari ushajutia kuwa uliwaibia basi jaribu kuwarudishia haki zao ndipo mwenyezi mungu ataweza samehe toba yakoNimekuwa naandika Sana kuhusu mambo ya siasa,
Nimekua napewa baadhi ya tetesi nazirusha hapa,
Nimekuwa na Mlengo wa Chama Cha Mapinduzi kwa Muda mrefu
Kuna muda nimeshabikia mambo ya Kinyama yaliyofanywa na Chama changu cha Mapinduzi
Nayakumbuka Matukio
1.Nimeshiriki sana Kuiba kura za wapinzani
Nimeshiriki Mafinga,Bukoba vijijini, Nimeshiriki Hata kura za kitaifa, mbinu nyingi CCM wanazitumia kuiba kura,
2.Nimeshirika Cyber war kwa kipindi cha Kampeni za Magufuli, na kushiriki kuwachafua viongozi wa upinzani
3.Nitaandika Nitaandika mengi ila naishia hapa kwa sasa
Suala linaloniuma na Kujuta ni la Mheshimiwa Lissu Kupigwa Risasi nikafurahia, lakin kadri muda ulivyopita nika kaa na kuwaza kwamba tuweke chuki pembeni tutangulize ubinadamu
Sitashiriki Kampeni yeyote ile
Sitashiriki Siasa kivyovyote vile
Nitabakia kuwa Mtazamaji tu
Britannica,
Vladivostok, Russia
Nimekuwa naandika Sana kuhusu mambo ya siasa,
Nimekua napewa baadhi ya tetesi nazirusha hapa,
Nimekuwa na Mlengo wa Chama Cha Mapinduzi kwa Muda mrefu
Kuna muda nimeshabikia mambo ya Kinyama yaliyofanywa na Chama changu cha Mapinduzi
Nayakumbuka Matukio
1.Nimeshiriki sana Kuiba kura za wapinzani
Nimeshiriki Mafinga,Bukoba vijijini, Nimeshiriki Hata kura za kitaifa, mbinu nyingi CCM wanazitumia kuiba kura,
2.Nimeshirika Cyber war kwa kipindi cha Kampeni za Magufuli, na kushiriki kuwachafua viongozi wa upinzani
3.Nitaandika Nitaandika mengi ila naishia hapa kwa sasa
Suala linaloniuma na Kujuta ni la Mheshimiwa Lissu Kupigwa Risasi nikafurahia, lakin kadri muda ulivyopita nika kaa na kuwaza kwamba tuweke chuki pembeni tutangulize ubinadamu
Sitashiriki Kampeni yeyote ile
Sitashiriki Siasa kivyovyote vile
Nitabakia kuwa Mtazamaji tu
Britannica,
Vladivostok, Russia
Ukiwa/ukitoka CCM haraf ufanye siasa unazomshauri kufa dakika mbili, kauli yetu chagua upo wapiHongera kwa uamzi mzuri na mgumu kama ni kweli unachokisema!, ila ningekuomba usiache siasa ila fanya siasa safi, nyeusi wambie watu kuwa ni nyeusi na kama ni nyeupe waambie watu ni nyeupe!.
Naamini unayo yafahamu ni mengi katika siasa za nchi yetu, ukifanya hilo nililo kushauri watu wataelimika, watapona na kujua siasa za nchi yetu!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah... Kwani ulilipwa ngapi? Kuuliza si ujinga [emoji2960]Nimekuwa naandika Sana kuhusu mambo ya siasa,
Nimekua napewa baadhi ya tetesi nazirusha hapa,
Nimekuwa na Mlengo wa Chama Cha Mapinduzi kwa Muda mrefu
Kuna muda nimeshabikia mambo ya Kinyama yaliyofanywa na Chama changu cha Mapinduzi
Nayakumbuka Matukio
1.Nimeshiriki sana Kuiba kura za wapinzani
Nimeshiriki Mafinga,Bukoba vijijini, Nimeshiriki Hata kura za kitaifa, mbinu nyingi CCM wanazitumia kuiba kura,
2.Nimeshirika Cyber war kwa kipindi cha Kampeni za Magufuli, na kushiriki kuwachafua viongozi wa upinzani
3.Nitaandika Nitaandika mengi ila naishia hapa kwa sasa
Suala linaloniuma na Kujuta ni la Mheshimiwa Lissu Kupigwa Risasi nikafurahia, lakin kadri muda ulivyopita nika kaa na kuwaza kwamba tuweke chuki pembeni tutangulize ubinadamu
Sitashiriki Kampeni yeyote ile
Sitashiriki Siasa kivyovyote vile
Nitabakia kuwa Mtazamaji tu
Britannica,
Vladivostok, Russia
siasa ndio kitu kinachangooza kila kitu kwenye hii dunia, mtu yoyote yule ambaye anaangalia vitu kwa picha kubwa lazima awe concerned na siasa,Kwamba mtu akiwa na uelewa mkubwa anafuatilia siasa....nazidi kujifunza..
Hivyo kisaikolojia wewe ukimwona mtu anaongelea habari za Diamond anaakili ndogo kukuzidi.
Troll JF njoo huku umpokee mwenzako huyu mpotevu amerudi kundiniNimekuwa naandika Sana kuhusu mambo ya siasa,
Nimekua napewa baadhi ya tetesi nazirusha hapa,
Nimekuwa na Mlengo wa Chama Cha Mapinduzi kwa Muda mrefu
Kuna muda nimeshabikia mambo ya Kinyama yaliyofanywa na Chama changu cha Mapinduzi
Nayakumbuka Matukio
1.Nimeshiriki sana Kuiba kura za wapinzani
Nimeshiriki Mafinga,Bukoba vijijini, Nimeshiriki Hata kura za kitaifa, mbinu nyingi CCM wanazitumia kuiba kura,
2.Nimeshirika Cyber war kwa kipindi cha Kampeni za Magufuli, na kushiriki kuwachafua viongozi wa upinzani
3.Nitaandika Nitaandika mengi ila naishia hapa kwa sasa
Suala linaloniuma na Kujuta ni la Mheshimiwa Lissu Kupigwa Risasi nikafurahia, lakin kadri muda ulivyopita nika kaa na kuwaza kwamba tuweke chuki pembeni tutangulize ubinadamu
Sitashiriki Kampeni yeyote ile
Sitashiriki Siasa kivyovyote vile
Nitabakia kuwa Mtazamaji tu
Britannica,
Vladivostok, Russia
Kukaa kimya nako ni busara.Wewe akili Zako ndogo na zitakugharimu
Wewe unapewa tetesi unazirusha bila kuzifanyia tafiti.(wewe mwehu)
Unyama ulifanywa na CCM ni upi,
Weka evidence.
Wewe uliajiriwa na mtu binafsi uibe kura hukuwa unalipwa na CCM kwa wizi mliokuwa mnafanya.
Kuchafuana kwenye siasa ni Jambo la kawaida na ndio maana zikaitwa siasa.
In short naona umekurupuka tu kutoka usingizini Wala hujielewi
Nakushauri kwasababu unazijua mbinu Za kuiba kura nenda upinzani wape mbinu hizo ili 2020 upinzani ushike Dola.
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho unachokijutia ndicho kinachofanywa na wanaccm nchi nzima na MAANDIKO MATAKATIFU yanasema hivi , hakuna mwanaccm atakayeuona ufalme wa Mungu .Nimekuwa naandika Sana kuhusu mambo ya siasa,