IDEGENDA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 4,492
- 5,350
Kama kweli wewe ni jeuri nenda haradhani kwenye vyombo vya Habari useme haya!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁 this is funny! Kakimbilia Russia kama E. SnowdenKwaiyo umegeuka snitch?
Unatusaliti sio?...Nimekuwa naandika Sana kuhusu mambo ya siasa,
Nimekua napewa baadhi ya tetesi nazirusha hapa,
Nimekuwa na Mlengo wa Chama Cha Mapinduzi kwa Muda mrefu
Kuna muda nimeshabikia mambo ya Kinyama yaliyofanywa na Chama changu cha Mapinduzi
Nayakumbuka Matukio
1.Nimeshiriki sana Kuiba kura za wapinzani
Nimeshiriki Mafinga,Bukoba vijijini, Nimeshiriki Hata kura za kitaifa, mbinu nyingi CCM wanazitumia kuiba kura,
2.Nimeshirika Cyber war kwa kipindi cha Kampeni za Magufuli, na kushiriki kuwachafua viongozi wa upinzani
3.Nitaandika Nitaandika mengi ila naishia hapa kwa sasa
Suala linaloniuma na Kujuta ni la Mheshimiwa Lissu Kupigwa Risasi nikafurahia, lakin kadri muda ulivyopita nika kaa na kuwaza kwamba tuweke chuki pembeni tutangulize ubinadamu
Sitashiriki Kampeni yeyote ile
Sitashiriki Siasa kivyovyote vile
Nitabakia kuwa Mtazamaji tu
Britannica,
Vladivostok, Russia
Kama kweli wewe ni jeuri nenda haradhani kwenye vyombo vya Habari useme haya!
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo baada ya miaka yote hiyo wewe ni mtu mwoga sanaNimekuwa naandika Sana kuhusu mambo ya siasa,
Nimekua napewa baadhi ya tetesi nazirusha hapa,
Nimekuwa na Mlengo wa Chama Cha Mapinduzi kwa Muda mrefu
Kuna muda nimeshabikia mambo ya Kinyama yaliyofanywa na Chama changu cha Mapinduzi
Nayakumbuka Matukio
1.Nimeshiriki sana Kuiba kura za wapinzani
Nimeshiriki Mafinga,Bukoba vijijini, Nimeshiriki Hata kura za kitaifa, mbinu nyingi CCM wanazitumia kuiba kura,
2.Nimeshirika Cyber war kwa kipindi cha Kampeni za Magufuli, na kushiriki kuwachafua viongozi wa upinzani
3.Nitaandika Nitaandika mengi ila naishia hapa kwa sasa
Suala linaloniuma na Kujuta ni la Mheshimiwa Lissu Kupigwa Risasi nikafurahia, lakin kadri muda ulivyopita nika kaa na kuwaza kwamba tuweke chuki pembeni tutangulize ubinadamu
Sitashiriki Kampeni yeyote ile
Sitashiriki Siasa kivyovyote vile
Nitabakia kuwa Mtazamaji tu
Britannica,
Vladivostok, Russia
Sijawahi shiriki mauaji ila niliwahi kushiriki mtego wa kuwajua wanaomtukana Rais mtandaoniDah! Waambie na wale vichaa wawili state agent na Kawe Alumni
Huu ushuhuda unaumiza sana! Ukijisikiiaje kufurahia maumivu ya binadamu mwenzio? Je ulishiriki pia kwenye mauwaji kwa namna moja ama nyingine? Ni swali tu sina nia mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi shiriki mauaji ila niliwahi kushiriki mtego wa kuwajua wanaomtukana Rais mtandaoni
Naishia hapaDah! Ulifanikiwa kwa kiasi gani? Na je mkiwakamata mlikua mnawafanyeje? I am interested to know kama hutajali
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpwa unaharibu utamu wa habari, naomba niulize swali LA mwisho kama hutajaliNaishia hapa
UlizaMpwa unaharibu utamu wa habari, naomba niulize swali LA mwisho kama hutajali
Nashukuru kwa kuniruhusu, hope utakua very sincere! Swali, kwa mtazamo wako, je bila hizi "figisu" unafikiri CCM wanaweza kui-face Chadema?Uliza
Ndiyo kwasababu pamoja na Umafia wa CCM bado upinzani nao hawajawa serious kwenye ishu za kuongoza, kila siku hao hao kina MboweNashukuru kwa kuniruhusu, hope utakua very sincere! Swali, kwa mtazamo wako, je bila hizi "figisu" unafikiri CCM wanaweza kui-face Chadema?
Pamoja mkuu wanguuKuachana na shetani ni jambo jema. CCM hakiwezi kuwa chama chenye baraka mbele za Mungu. Na wote waliojishikamanisha na ibilisi huyu, laana ijuu yao na wana wao. Chama hiki kinaua, kinateka, kinatesa na kudhulumu watu. Lakini pia chama hiki ni cha kishirikina.
Kuna mjumbe mmoja wa CCM alielezea jinsi pale Mwanza, usiku wa manane walivyokusanywa kwenye ukumbi wa jiji usiku wa manane, tarehe 14 Octoba 2015, na kisha viongozi wao wa mkoa kuwaacha na mganga wa kienyeji (mchawi) aliyewapa dawa na maelekezo ya namna ya kwenda na dawa hizo usiku ule kwenye vituo vya kupigia kura. Yule mama mjumbe wa CCM alisikitika sana lakini akasema nilitekeleza kwa sababu ya hofu. Anasema waliambiwa atakayeshindwa kutekeleza kwa kadiri ya maelekezo, atakuja kujutia.
Hata siku moja, Mungu haelekezi kuua, kubagua, kutesa, kuonea au wewe kujiona bora kuliko binadamu wengine. Yeyote anayeyafanya hayo, hakika ni lazima, ametoka kwa shetani, anatekeleza matakwa ya shetani. Shetani baada ya kukutumia, lazima akuangamize.
Pale Mwanza, tazameni yaliyompata Mabina, aliyekuwa mwenyekiti wa CCM mkoa. Alikuwa mbabe hasa, aliyeogopwa na hata na mawaziri. Pamoja na ubabe wake, aliuawa kwa unyonge zaidi ya kuku. Jiwe moja dogo la mwanakijiji lilimwondolea uhai. Tupu zake zikakatwa na wanakijiji kudhihirisha chuki dhidi yake. Hatufurahii kifo lakini kuna vifo vya laana, na Mungu anatukumbusha tuliosalia na kujisahau.
Roho ya mwanaCHADEMA, mwanaCCM, mwanaCUF, mwanaACT au hata asiye na chama, ina thamani kubwa mbele za Mungu. Unaweza ukaua leo, ukatesa, ukaonea, ukabagua, ukapendelea, ukateka, ukapoteza watu, na kwa ujinga ukajiona mwamba kweli maana unatenda lolote utakalo, kwa kauli tu usiowapenda wanatetemeka na kuangamia lakini usichokijua, ni UNYONGE ulio nao. Unyonge wako unaweza kuzidiwa hata ule wa simbilisi.
Wababe wengi mwisho wao huwa ni wa kinyonge sana, na wala huwa hawaondolewi na wabaya wao waliowategemea. Huondolewa na wasiowatarajia kabisa.
Britinica, hongera kwa kuondoka kwenye unyonge, shetani ni mnyonge. Huwakamata walio wanyonge zaidi. Ambatana na Mungu mwenye nguvu na mamlaka makubwa, nawe utaufurahia ukuu wake. Mungu akujaze neema zake zitakazokufanya uuchukie uovu milele. Mwovu anayetubu na kubadilika, ni furaha kubwa kwa Mungu na ushirika wa watakatigu wake waliopo mbinguni na duniani.