Natangaza rasmi kuachana na masuala ya Siasa, nina ya kujutia mengi

Hili alishalisema zamani kuwa Ben aliachwa aliwe na mamba kisiwani
Daah ..this is very hurtful

Sometimes nawaza, unafanya haya yote, siku moja unajikuta upo mwenyewe kwenye jeneza, umewekewa pamba kwenye matundu ya pua na midomoni, unapuliziwa pafyum kusudi usinuke, halafu upo mwenyewe, umeacha kila kitu duniani, damu za watu, dhulma za watu zinakuangalia tu ulivyo mwenyewe kwenye jeneza, unaenda zako huyo unaingizwa mavumbini japo sanasa utavalishwa suti, unamwagiwa vumbi unafukiwa ..biashara imeisha. Wapi ubabe wako duniani, dhulma zako duniani, uuaji wako duniani, unafiki wako duniani, umwambafai wako duniani uko wapi wakati huo uko 6 feet ndani ya shimo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuacha chaputa ni ngumu sana,2020 hiyooooo
 

Unataka uongezewe dau?
 
Kiburi cha uhai hushinda hofu ya hatma
 
Ni vyema ukatubu kwa Muumbaji wa Mbingu na Ardhi badala ya jukwaani.Maana yeye ndiye atayeshughulikia hao walionzisha vyama vya kishetani vinavyojali madaraka na mali na kusahau umma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera kaka kwa kujutia hayo maovu uliyo yashiriki
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Roho wa shetani bado yuko ndani yako. Paulo alipoongoka hakukaa kimya alitumia nguvu zake kuutangaza wokovu.

Mungu wetu yu mwema bado unanafasi ya kutubu na kutoa ushuhuda wa ushetani wote ulofanya pamoja na wenzio ambao bado injili haijawafikia.
Kama ulitumia akili tulizopewa na Mungu, nguvu ulizopewa bure na Mung kumutikia shetani kwa kutojua kwanini sasa usitumie hizo akili na nguvu kuushuhudia ukweli kuliko kuachana na siasa!!
 
mkuu dhambi uongo ni mbaya sana haitakuacha salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haukua na Id nyingine ya kusemea ukweli wa moyo wako? ? Uliwezaje kuandia usnitch bila kua na id ya kuzugia na kusema ukweli na msimamo wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…