Natangaza rasmi kuachana na masuala ya Siasa, nina ya kujutia mengi

Lakin ni kwel aliyewatuma wale jamaa kumshut Tundu Lissu ni mkuu wenu?

Tuanzia hapo kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa ni kama madawa ya kulevya, huwezi kuacha ukishaianza, sababu inakugusa kila siku kwenye maisha yako, ndio nchi yako, kusema unaachana na siasa labda usijue kinachoendelea kwenye nchi yako na hii itahitaji ujifungie shimoni. mwenyewe natamani ningekuwa na uelewa mdogo nikawa nafuatilia masuala ya akina kondeboy na diamond na kiba, ila ndio hivyo
 
britanicca ,nimefurahi sana kusikia hivyo na ndipo ninapothibitisha kuwa wengi wenu huwa mnashiriki kufanya hayo maasi ilimradi mkono haramu uende kinywani wakati majority of us na ndugu zenu na vizazi vyenu vikiumia.Siasa chafu haiwezi leta maendeleo hata kidogo.
 
Unasema!? Naona kama sauti ina mikwaruzo na upo eneo lenye upepo! Sikupati uzuri.

Eti umeshiriki operesheni nyingi hadi ya TAML?

Bazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama umestaafu ni jambo jema, ila nisikuone kule twitter ukiiteta au kukisema tena CCM ukishirikiana na Kigogo...

Halafu uwache unafiki mbona inajulikana wazi waliompiga lissu risasi ni wana chadema wenyewe...

Kuhusu uibaji wa kura huo ni uzushi kama uzushi mwingine, watanzania bado wana imani na CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama umeamua kujitenga na uovu ni jambo jema,ila haitakuwa na maana kama hautouanika uovu na watendao uovu. Moja ya deni kubwa ni la ndugu yetu Ben Saanane,kama uliweza kutupikia mapishi ya Dr Shika,huwezi kosa jua store ya ndugu yetu!!
 
Kwa hiyo umetubu? Hatujaona neno 'samahani'!
 
Kwamba mtu akiwa na uelewa mkubwa anafuatilia siasa....nazidi kujifunza..

Hivyo kisaikolojia wewe ukimwona mtu anaongelea habari za Diamond anaakili ndogo kukuzidi.
 

Umechagua fungu jema,nikushauri fungua biashara ya kanisa ili ufanye ujasiliadini unalipa awamu hii ya ugumu Wa Maisha matatizo ni kedekede wengi tumeathirika kisaikolojia kazini moto,mtaani moto nyumbani moto,hivo ukiwa mfariji wa kucheza na akili zetu mashallah uhakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…