Natangaza rasmi kuachana na siasa

Natangaza rasmi kuachana na siasa

Hii I'd hamtaiona tena natangaza kuachana na siasa maisha yangu yote.

Sina Cha kuongeza ila Mimi ni mmoja wa watu nilio risk maisha yangu na biashara zangu kupigania Chadema.

Account yangu ya biashara ilifungwa kipindi cha utawala wa Magufuli sababu ya kukataa ujinga wa utawala wake.

Sitaki kuongea mengi ila niseme tu ukweli Mimi ni Mchaga pure kabisa nimekuwa nikisapoti chadema sio kwa sababu ya Mbowe kuwa mchaga hapana..

Nimekuwa nikisapoti chadema kwa sababu ni chama ambacho angalau niliona kina mwanga wa kuleta mageuzi.

Nimekuwa mwanachama wa Chadema toka mwaka 2009 baada ya kumaliza kidato Cha nne nikiwa mdogo kabisa niseme tu damu yangu ilikuwa chadema kabisa pure maana sijawai kuwa ccm.

Nilianza kuwa na mashaka mwaka 2015 baada ya Mbowe kumpokea Fisadi Lowassa kwenye chama lakini nikasema bado siwezi kuasi chama.

Kwa alichokifanya mbowe kututukana wanachama kwamba hatuna mchango wowote ndiye mwenye chama na anaweza kufanya anachotaka nimejiridhisha bila mashaka Mbowe ni Tapeli, Mwizi, Muongo, Mfanyakazi wa CCM , kibraka wa Samia na Fisadi Kama mafisadi mengi yaliyo CCM .

Nang'atuka Chadema sitoshiriki aina yeyote ya siasa wala kutumia hata mia yangu kwenye chama na vyama mfu vya upinzani inatosha.

Siwezi kufanya siasa za unafiki siwezi kuwa mnafiki nitarudi kwenye siasa siku Tundu Lissu akianzisha chama kipya na ndani yake kusiwemo wafanyakazi wa CCM na majambazi wa siasa za Tanzania .

Poleni kwa ndugu zangu mliopata misukosuko wakati nasumbuliwa na utawala wa CCM

Poleni marafiki zangu ambao mlipata shida nilipokuwa napata misukosuko ya kisiasa.

Poleni Sana ndugu wa watu wote waliopotea mpaka leo hawajapatika.

Poleni Sana wote waliofariki Kama Chacha Wangwe, Kibao, Mawazo, Akwilina, Ben Saanane, Zoka, Mwangosi na wengine ambao sijawataja!!..

Poleni poleni Sana watu wote niliowatukana kwa sababu ya ya chama natubu naomba mnisamehe maisha yaendelee!!.

Nipo Moshi Mlliopo Moshi Karibuni tule nyama na bia.
Pole kwa yaliyokukuta katika biashara zako. Lakini pengine hujui maana ya siasa. Kama wewe uko chini ya sheria za nchi, unalipa kodi, na unaongozwa na viongozi waliochaguliwa kisheria, huwezi kusema unaachana na siasa, maana siasa ni sanaa ya utawala wa nchi na watu wake. Ukiachana na siasa ina maana wewe hutawaliwi tena na hufaidiki tena na huduma zozote zinazotolewa na mamlaka ya nchi. Labda kama unamaanisha unaachana na siasa ya vyama vya siasa (party politics). Pia unapofanya uamuzi, fanya ukiwa sober, bila mihemko (bila ya kuwa influenced na jambo fulani ambalo limekuumiza moyoni).
 
Hii I'd hamtaiona tena natangaza kuachana na siasa maisha yangu yote.

Sina Cha kuongeza ila Mimi ni mmoja wa watu nilio risk maisha yangu na biashara zangu kupigania CHADEMA.

Account yangu ya biashara ilifungwa kipindi cha utawala wa Magufuli sababu ya kukataa ujinga wa utawala wake.

Sitaki kuongea mengi ila niseme tu ukweli Mimi ni Mchaga pure kabisa nimekuwa nikisapoti CHADEMA sio kwa sababu ya Mbowe kuwa mchaga hapana.

Nimekuwa nikisapoti CHADEMA kwa sababu ni chama ambacho angalau niliona kina mwanga wa kuleta mageuzi.

Nimekuwa mwanachama wa CHADEMA toka mwaka 2009 baada ya kumaliza kidato Cha nne nikiwa mdogo kabisa niseme tu damu yangu ilikuwa CHADEMA kabisa pure maana sijawai kuwa CCM.

Nilianza kuwa na mashaka mwaka 2015 baada ya Mbowe kumpokea Lowassa kwenye chama lakini nikasema bado siwezi kuasi chama.

Kwa alichokifanya Mbowe kututukana wanachama kwamba hatuna mchango wowote ndiye mwenye chama na anaweza kufanya anachotaka nimejiridhisha bila mashaka Mbowe ni Tapeli, Mwizi, Muongo, Mfanyakazi wa CCM , kibraka wa Samia na Fisadi Kama mafisadi mengi yaliyo CCM .

Nang'atuka CHADEMA sitoshiriki aina yeyote ya siasa wala kutumia hata mia yangu kwenye chama na vyama mfu vya upinzani inatosha.

Siwezi kufanya siasa za unafiki siwezi kuwa mnafiki nitarudi kwenye siasa siku Tundu Lissu akianzisha chama kipya na ndani yake kusiwemo wafanyakazi wa CCM na majambazi wa siasa za Tanzania .

Poleni kwa ndugu zangu mliopata misukosuko wakati nasumbuliwa na utawala wa CCM

Poleni marafiki zangu ambao mlipata shida nilipokuwa napata misukosuko ya kisiasa.

Poleni Sana ndugu wa watu wote waliopotea mpaka leo hawajapatika.

Poleni Sana wote waliofariki Kama Chacha Wangwe, Kibao, Mawazo, Akwilina, Zoka, Mwangosi na wengine ambao sijawataja!!..

Poleni poleni Sana watu wote niliowatukana kwa sababu ya ya chama natubu naomba mnisamehe maisha yaendelee!!.

Nipo Moshi Mlliopo Moshi Karibuni tule nyama na bia.
Siasa ni maisha yako ya kila siku , Mungu akutangulie, siasa mpaka unaingia kabulini ipo tu
 
Siwezi kufanya siasa za unafiki siwezi kuwa mnafiki nitarudi kwenye siasa siku Tundu Lissu akianzisha chama kipya na ndani yake kusiwemo wafanyakazi wa CCM na majambazi wa siasa za Tanzania .
Mbowe ndo katangaza nia ya kutetea nafasi ya uenyekiti hata uchaguzi bado haujafanyika tayari watu mmeshakata tamaa,sijui utapeli wa Mbowe ndo huu wa kutangaza kutetea nafasi.
 
Hii I'd hamtaiona tena natangaza kuachana na siasa maisha yangu yote.

Sina Cha kuongeza ila Mimi ni mmoja wa watu nilio risk maisha yangu na biashara zangu kupigania CHADEMA.

Account yangu ya biashara ilifungwa kipindi cha utawala wa Magufuli sababu ya kukataa ujinga wa utawala wake.

Sitaki kuongea mengi ila niseme tu ukweli Mimi ni Mchaga pure kabisa nimekuwa nikisapoti CHADEMA sio kwa sababu ya Mbowe kuwa mchaga hapana.

Nimekuwa nikisapoti CHADEMA kwa sababu ni chama ambacho angalau niliona kina mwanga wa kuleta mageuzi.

Nimekuwa mwanachama wa CHADEMA toka mwaka 2009 baada ya kumaliza kidato Cha nne nikiwa mdogo kabisa niseme tu damu yangu ilikuwa CHADEMA kabisa pure maana sijawai kuwa CCM.

Nilianza kuwa na mashaka mwaka 2015 baada ya Mbowe kumpokea Lowassa kwenye chama lakini nikasema bado siwezi kuasi chama.

Kwa alichokifanya Mbowe kututukana wanachama kwamba hatuna mchango wowote ndiye mwenye chama na anaweza kufanya anachotaka nimejiridhisha bila mashaka Mbowe ni Tapeli, Mwizi, Muongo, Mfanyakazi wa CCM , kibraka wa Samia na Fisadi Kama mafisadi mengi yaliyo CCM .

Nang'atuka CHADEMA sitoshiriki aina yeyote ya siasa wala kutumia hata mia yangu kwenye chama na vyama mfu vya upinzani inatosha.

Siwezi kufanya siasa za unafiki siwezi kuwa mnafiki nitarudi kwenye siasa siku Tundu Lissu akianzisha chama kipya na ndani yake kusiwemo wafanyakazi wa CCM na majambazi wa siasa za Tanzania .

Poleni kwa ndugu zangu mliopata misukosuko wakati nasumbuliwa na utawala wa CCM

Poleni marafiki zangu ambao mlipata shida nilipokuwa napata misukosuko ya kisiasa.

Poleni Sana ndugu wa watu wote waliopotea mpaka leo hawajapatika.

Poleni Sana wote waliofariki Kama Chacha Wangwe, Kibao, Mawazo, Akwilina, Zoka, Mwangosi na wengine ambao sijawataja!!..

Poleni poleni Sana watu wote niliowatukana kwa sababu ya ya chama natubu naomba mnisamehe maisha yaendelee!!.

Nipo Moshi Mlliopo Moshi Karibuni tule nyama na bia.
Bado hamjasema, kenge nyie
 
Soma hapa
Sehemu yoyote ambayo unaweza kufukuzwa muda wowote usiwekeze nguvu nyingi hapo. Sehemu hizo ni kama ifuatavyo

Pole naww kwa kuchelewa kujua Hilo,mm nilijitoa kile kipindi cha lowasa.
 
Back
Top Bottom