Natangaza rasmi kuachana na siasa

Pole kwa yaliyokukuta katika biashara zako. Lakini pengine hujui maana ya siasa. Kama wewe uko chini ya sheria za nchi, unalipa kodi, na unaongozwa na viongozi waliochaguliwa kisheria, huwezi kusema unaachana na siasa, maana siasa ni sanaa ya utawala wa nchi na watu wake. Ukiachana na siasa ina maana wewe hutawaliwi tena na hufaidiki tena na huduma zozote zinazotolewa na mamlaka ya nchi. Labda kama unamaanisha unaachana na siasa ya vyama vya siasa (party politics). Pia unapofanya uamuzi, fanya ukiwa sober, bila mihemko (bila ya kuwa influenced na jambo fulani ambalo limekuumiza moyoni).
 
Siasa ni maisha yako ya kila siku , Mungu akutangulie, siasa mpaka unaingia kabulini ipo tu
 
Mkuu,kunampango wa kusajili Sauti ya Watanzania ili kiwe Chama rasmi cha Siasa Dr.Slaa yuko huko hapo vipi?
Ndio huo mjadala wanaoujadili CH na Mwaitenda now? Sauti ya Watanzania?
 
Siwezi kufanya siasa za unafiki siwezi kuwa mnafiki nitarudi kwenye siasa siku Tundu Lissu akianzisha chama kipya na ndani yake kusiwemo wafanyakazi wa CCM na majambazi wa siasa za Tanzania .
Mbowe ndo katangaza nia ya kutetea nafasi ya uenyekiti hata uchaguzi bado haujafanyika tayari watu mmeshakata tamaa,sijui utapeli wa Mbowe ndo huu wa kutangaza kutetea nafasi.
 
Bado hamjasema, kenge nyie
 
Soma hapa
Sehemu yoyote ambayo unaweza kufukuzwa muda wowote usiwekeze nguvu nyingi hapo. Sehemu hizo ni kama ifuatavyo

 
Pole naww kwa kuchelewa kujua Hilo,mm nilijitoa kile kipindi cha lowasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…