Natangaza rasmi kuachana na siasa

Nilikua na rafiki tulikutana naye kwenye hustling, mchaga, na alikua chadema damu. Alikua ni mwenyekiti wa tawi akiwa kwenye hicho cheo alifanya kazi kwa karibu na Boni.

Kwa kuzingatia upepo wa lowasa huyu rafiki yangu alijitoa kwa hali na mali. Biashara ikafa lakini akaamini bright days are near.

Boni akatoboa, halafu akawa hapokei simu za jamaa na akimfuata ofisini anamkataa. Time hiyo Boni ni meya.

Boni ndiye alimfungua macho jamaa kwamba hakuna anayepigania masilahi ya wananchi kila mmoja anapambania tumbo lake
 
Wanaleta hasira zao mitandaoni
Walijiunga kimya kimya,kuondoka wanakuja kututangazia humu πŸ˜€
Wala hajaacha, we ngoja Lisu akishinda huo uchaguzi utamuona kutwa kucha humu.

Sasa hivi ana wasiwasi na haelewi nini kitatokea kaanza kujitoa, na kususa kisa eti Mbowe anagombea nafasi ya uwenyekiti taifa chadema.
 
Kila la heri huko. Wacha sie wenye roho ngumu tuendelee na maisha ya Siasa huku tukichukua tahadhari.
 
Mbowe ndo katangaza nia ya kutetea nafasi ya uenyekiti hata uchaguzi bado haujafanyika tayari watu mmeshakata tamaa,sijui utapeli wa Mbowe ndo huu wa kutangaza kutetea nafasi.
Nimecheka sana mkuu πŸ˜‚
 
Ondoka tu, kwanza CHADEMA uliikuta ukapipenda mwenyewe. Hakuna hasara
 
Umeandika vizuri sana, anyedhani mwanasiasa(has wa afrika) yupo kwa ajili yake anaidanganya na amekosa akili
 
Umeandika vizuri sana, anyedhani mwanasiasa(has wa afrika) yupo kwa ajili yake anaidanganya na amekosa akili
Tatizo letu tunaamini yale tunayoambiwa badala ya sisi wenyewe kutumia vizuri ubongo wetu katika kufikiri na kutatua changamoto zetu za maisha.

Wapo baadhi ya watu wanaamini mwanasiasa anaweza kuwaboreshea maisha yao πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† wanasahau kwamba siasa ni ajira na ndio maana wanasiasa wanalipwa.

Binafsi huwa nafurahi namna wanavyokosoana bungeni na kwenye majukwaa ambayo kimsingi naichukulia kama comedy fulani.
 
Mungu anamuona Mboe na anawatumikia kwa hila.
Si sad.
Mungu atawalipa kwa kushezea Shere watanzania kwa jambo ambalo linaeuhusiwa Kikatiba kumbe huku wako na agenda zao za Siri kuhujumu na kupumbaza wananchi.
Mungu atazidi kuwaumbua na kuwashushia heshima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…