MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kuanzia sasa MINOCYCLINE nitakuwa Naipamba tu Yanga SC huku Nikiichana mara kwa mara Simba SC na nitaacha kufanya hivi pale tu Kocha Msaidizi Matola atakapong'olewa (atakapofurumushwa).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mimi ninatangaza rasmi kutokukukubali tena kama Purely talented, well blessed and cherismatic Fella hadi hapo utakapoanza kuishabikia tena simba.Kuanzia sasa MINOCYCLINE nitakuwa Naipamba tu Yanga SC huku Nikiichana mara kwa mara Simba SC na nitaacha kufanya hivi pale tu Kocha Msaidizi Matola atakapong'olewa ( atakapofurumushwa )
Yaani kuanzia sasa utamtambua rasmi kama Popoma mbobevu. Au!!!!Na mimi ninatangaza rasmi kutokukukubali tena kama Purely talented, well blessed and cherismatic Fella hadi hapo utakapoanza kuishabikia tena simba.
Dawa ya moto ni moto.
Safi sana,Furaha yangu kuona huyu chi.zi anashambuliwa🤣🤣🤣🤣Na mimi ninatangaza rasmi kutokukukubali tena kama Purely talented, well blessed and cherismatic Fella hadi hapo utakapoanza kuishabikia tena simba.
Dawa ya moto ni moto.
Sisi Yanga hatukutaki maana itakuwa unafiki, simba ni taasisi kuweka bifu na mtu ni ushamba, allegations kuhusu matola ni kinadharia kwani alikuwepo simba ikiwa inafanya vizuri mbona mlikaa kimya.Kuanzia sasa MINOCYCLINE nitakuwa Naipamba tu Yanga SC huku Nikiichana mara kwa mara Simba SC na nitaacha kufanya hivi pale tu Kocha Msaidizi Matola atakapong'olewa (atakapofurumushwa).
We tangu lini ukawa shabiki wa Simba?Kuanzia sasa MINOCYCLINE nitakuwa Naipamba tu Yanga SC huku Nikiichana mara kwa mara Simba SC na nitaacha kufanya hivi pale tu Kocha Msaidizi Matola atakapong'olewa (atakapofurumushwa).
Dawa ya moto ni moto na dawa ya mchawi ni uchawi haha...nataniaKuanzia sasa MINOCYCLINE nitakuwa Naipamba tu Yanga SC huku Nikiichana mara kwa mara Simba SC na nitaacha kufanya hivi pale tu Kocha Msaidizi Matola atakapong'olewa (atakapofurumushwa).
Njoo basi nitakuwa front kukupokeaKazi kwenu wana Yanga mgeni huyooo ameingiaa
Kuanzia sasa MINOCYCLINE nitakuwa Naipamba tu Yanga SC huku Nikiichana mara kwa mara Simba SC na nitaacha kufanya hivi pale tu Kocha Msaidizi Matola atakapong'olewa (atakapofurumushwa).
Yanga hatutaki mashabiki vivuruge kama mtoa mada. Mbaki naye huko huko.Kazi kwenu wana Yanga mgeni huyooo ameingiaa
Mimi haitakaa itokee abadaniii hahahaNjoo basi nitakuwa front kukupokea