KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
Heee mimi tena?Naona unanigeuzia kibao, huwa ninakususpect pia!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heee mimi tena?Naona unanigeuzia kibao, huwa ninakususpect pia!
Huyo mheshimiwa, anamkubali sana Kagame.Heee mimi tena?
Haha jamaa ni mtani wangu sana.Kuna vitu namkubali ila kuna mambo mengine kwakweli anaboa sana.Huyo mheshimiwa, anamkubali sana Kagame.
Huyo mheshimiwa, anamkubali sana Kagame.Heee mimi tena?
Yeah! Wengine eti wanamuita POPOMA, sikubaliani nao kabisa..Haha jamaa ni mtani wangu sana.Kuna vitu namkubali ila kuna mambo mengine kwakweli anaboa sana.
Anaweza asiwe POPOMA lakini akawa na dalili zote za UPOPOMAHuyo mheshimiwa, anamkubali sana Kagame.
Yeah! Wengine eti wanamuita POPOMA, sikubaliani nao kabisa..
Ndugu, hebu mtake radhi mheshimiwa sana aliyetukuka kabisa, Well informed person!Anaweza asiwe POPOMA lakini akawa na dalili zote za UPOPOMA
Amebeinformed kwa lipi wakati mpka leo hajui kwanini uongozi wa Simba sc umemng'ang'ania MATOLA?Ndugu, hebu mtake radhi mheshimiwa sana aliyetukuka kabisa, Well informed person!
Amekuwa informed kwamba matola hafai....Amebeinformed kwa lipi wakati mpka leo hajui kwanini uongozi wa Simba sc umemng'ang'ania MATOLA?
Hakuna mtu amewahi kupambana na mtu wa Kigoma akawa na mwisho mzuri.Aachane na hayo mambo
Basi mwamba atakuwa ametisha sana..Mwamba anajichatisha [emoji23] [emoji23]
Kimwaga udugu wewe uko kwenye payroll ya GSM kuitumikia Yanga achana na Simba hatuhitaji waropokajiKuanzia sasa MINOCYCLINE nitakuwa Naipamba tu Yanga SC huku Nikiichana mara kwa mara Simba SC na nitaacha kufanya hivi pale tu Kocha Msaidizi Matola atakapong'olewa (atakapofurumushwa).
Swadaktaaa!!!!Yaani kuanzia sasa utamtambua rasmi kama Popoma mbobevu. Au!!!!
Huyo ndiye kimwaga udugu mwenyeweKazi kwenu wana Yanga mgeni huyooo ameingiaa
Huyo mbona mnaye kitambo huko toka alivyotupiwa virago huku Simba. Ameji camouflage kwa muda lakini sasa ameamua kujivua gamba, huyo ndiye kimwaga udugu mwenyewe.Yanga hatutaki mashabiki vivuruge kama mtoa mada. Mbaki naye huko huko.