Natangaza rasmi kutoishabikia Simba SC kwa muda na kuisema vibaya mpaka Kocha Msaidizi Matola ang'olewe Simba SC

Natangaza rasmi kutoishabikia Simba SC kwa muda na kuisema vibaya mpaka Kocha Msaidizi Matola ang'olewe Simba SC

Kuanzia sasa MINOCYCLINE nitakuwa Naipamba tu Yanga SC huku Nikiichana mara kwa mara Simba SC na nitaacha kufanya hivi pale tu Kocha Msaidizi Matola atakapong'olewa (atakapofurumushwa).
Hama kabisa tanzania maana kitakachoendelea kwa simba kitakupa presha sana
 
Ulivyoanza kuishabikia Simba ulimuambia nani? Nenda tu tena kwa haraka huko unakoenda
 
Tuambie kosa la Matola ni nini?
SOKA LA BONGO GUMU SANA.

Akikujibu niambie. Mpira unachezwa hadharani. Hizo timu ndogo zikicheza na Yanga au Simba huwa wanacheza JIHAD.

Kumbuka msimu uliopita Prison ma Mbeya Kwanza zilikataa kufungwa na Yanga unbeaten zikatoa droo!
 
Kuanzia sasa MINOCYCLINE nitakuwa Naipamba tu Yanga SC huku Nikiichana mara kwa mara Simba SC na nitaacha kufanya hivi pale tu Kocha Msaidizi Matola atakapong'olewa (atakapofurumushwa).
Toa sababu vinginevyo hii itakuwa ni chuki binafsi na majungu

Hata hivyo Matola akiacha ushikaji kwenye timu itafanya vizuri
 
Unajitekenya na kucheka mwenyewe na utitiri wa ID zako.Sawa nimekuelewa
Kwamba mimi ndio MINOCYCLINE aka Purely Talented, blessed intellectually, well informed person?!, Yaani mutu ya kuandika thread zilizotukuka kabisa!

Unajaribu kunipa hadhi ambayo sijaifikia, na unamkosea kabisa huyu mheshimiwa.
 
Back
Top Bottom