Natangaza rasmi, kwa sasa nahamia CCM na kuwaunga mkono

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,748
Reaction score
18,096
Mwanzo nilidhani tunaweza kuwachomoa pale juu kwa vinyuzi vyetu vya hapa jf, nmegundua kua ccm haitokaa itoke madarakani kwa kutolewa na mtu yoyote yule labda waamue wao wenyewe.

Kinachoweza kuitoa madarakani serikali ni nguvu ya wananchi wenye akili timamu kitu ambacho kwa Tanzania wananchi hao wenye akili timamu hamna, asilimia 90 Wana ubongo wa Bata.

Ewe mwananchi, epuka kuingizwa mkenge na watu wanaoisema vibaya sisiem, nimekuja kugundua Bora ccm Wana akili timamu wanajua wanachofanya kuliko raia wenye ubongo wa Bata 🦆.

Tuiunge mkono serikali maisha yaendelee, yaliyotokea mo29 tusameheane, huu upumbavu mlioufanya wa kuchoma Mali za watu na vituo vya mafuta ndio ulileta mauaji kwenye kuwakabili vibaka.

Tuiunge mkono serikali ya ccm tusonge mbele.
 
Vipi leo umelewa ?
 
FB_IMG_1791689051329.jpg
Hizi ndio tools za Ccm, inawajuwa akili zenu vizuri.
 
Umaskini ni mbaya sana hasa ukichanganya na ujinga
 
Attachments

  • FB_IMG_1791441124191.jpg
    FB_IMG_1791441124191.jpg
    58.4 KB · Views: 7
Kwa nini umetupa taulo mapema kuwa Ccm si bora ungekuwa neutral usitefungamana na pande yeyote kama Mimi ?
Kua neutral haiwezekani, nimeona nichague upande wa watu wenye akili timamu wanaojua Nini wanataka na wanaofahamu namna ya kuwakabili vilaza
 
Mwanzo nilidhani tunaweza kuwachomoa pale juu kwa vinyuzi vyetu vya hapa jf, nmegundua kua ccm haitokaa itoke madarakani kwa kutolewa na mtu yoyote yule labda waamue wao wenyewe.

Kinachoweza kuitoa madarakani serikali ni nguvu ya wananchi wenye akili timamu kitu ambacho kwa Tanzania wananchi hao wenye akili timamu hamna, asilimia 90 Wana ubongo wa Bata.

Ewe mwananchi, epuka kuingizwa mkenge na watu wanaoisema vibaya sisiem, nimekuja kugundua Bora ccm Wana akili timamu wanajua wanachofanya kuliko raia wenye ubongo wa Bata 🦆.

Tuiunge mkono serikali maisha yaendelee, yaliyotokea mo29 tusameheane, huu upumbavu mlioufanya wa kuchoma Mali za watu na vituo vya mafuta ndio ulileta mauaji kwenye kuwakabili vibaka.

Tuiunge mkono serikali ya ccm tusonge mbele.
Unaweza kuhamia ccm wakati umo ccm muda wote? acha porojo watu hawezi kutoka kwenye fokasi kizembe hivo
 
Back
Top Bottom