comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
- Thread starter
- #41
Endeleeni kutukana ndio mlichobakiwa nacho, sisi kama chama tawala TUNASONGA MBELEJina lina sadiki,haya nenda ukawape mgongo.
Endeleeni kutukana ndio mlichobakiwa nacho, sisi kama chama tawala TUNASONGA MBELEJina lina sadiki,haya nenda ukawape mgongo.
nimeamua kuhamia kwa wenye akili wenzanguUmeamua kurudi shimoni.
Hii vita sio ya kila mtu.
Angalia post yangu no 37Umeamua kurudi shimoni.
Hii vita sio ya kila mtu.
Kama wenye akili ni akina Makonda basi sawa.nimeamua kuhamia kwa wenye akili wenzangu
Makonda ni mtu mkuu sana hata akipewa nchi anaweza kuongoza.Kama wenye akili ni akina Makonda basi sawa.
Nimekuelewa.
Niffer amemshukuru Mama kwa ushindi wa Miss grand 😂Unaonekana kama tupo pamoja, ccm hatuiwezi bora tuungane nayo tu
Sawa Mimi napambana na familia pamoja na kukiunga mkono chama changu cha ccm na kuhubiri amani.Niffer amemshukuru Mama kwa ushindi wa Miss grand 😂
Mimi siwezi kuungana na yeyote harakati zangu ni kujipambania Mimi na familia yangu toka kitambo mpaka sasa
Kuhubiri amani ni muhimu , nitahubiri bila kuwa CcmSawa Mimi napambana na familia pamoja na kukiunga mkono chama changu cha ccm na kuhubiri amani.
Hayo ni mawazo yakoUsajili mpya.....
Posho ni elfu 7 kwa siku
Sehem ya kazi ni Lumumba
Kazi ni post zote ziwe za kusifia
Hii ndio Gen Z ya Tanzania
Amani bila vyombo vya ulinzi na usalama haiwezekaniKuhubiri amani ni muhimu , nitahubiri bila kuwa Ccm
Ila usisahau kukagua tatizo la afya ya akili!Basi na ufike salama.Mwanzo nilidhani tunaweza kuwachomoa pale juu kwa vinyuzi vyetu vya hapa jf, nmegundua kua ccm haitokaa itoke madarakani kwa kutolewa na mtu yoyote yule labda waamue wao wenyewe.
Kinachoweza kuitoa madarakani serikali ni nguvu ya wananchi wenye akili timamu kitu ambacho kwa Tanzania wananchi hao wenye akili timamu hamna, asilimia 90 Wana ubongo wa Bata.
Ewe mwananchi, epuka kuingizwa mkenge na watu wanaoisema vibaya sisiem, nimekuja kugundua Bora ccm Wana akili timamu wanajua wanachofanya kuliko raia wenye ubongo wa Bata 🦆.
Tuiunge mkono serikali maisha yaendelee, yaliyotokea mo29 tusameheane, huu upumbavu mlioufanya wa kuchoma Mali za watu na vituo vya mafuta ndio ulileta mauaji kwenye kuwakabili vibaka.
Tuiunge mkono serikali ya ccm tusonge mbele.
Huku kwenye kundi la wenye akili hatuna tatizo hiloIla usisahau kukagua tatizo la afya ya akili!Basi na ufike salama.
Una asili ya Fe basi sumaku haikuachi salamaKabisa, siwezi kukaa upande wa wadhaifu
Mimi ni chuma kweli kweli, ccm daima TUNASONGA mbeleUna asili ya Fe basi sumaku haikuachi salama
Ni mawe back to back, ikitoka hapa tunawaletea Mika 30 ya bongo flava, sijutii kujiunga na kuwasapoti ccm maana Wana akili sana, nimechoka kukaa kwenye kundi la wajinga
HakikaView attachment 3688357Tunajiandaa kumpokea shujaa wetu.