Natangaza rasmi, kwa sasa nahamia CCM na kuwaunga mkono

Kua neutral haiwezekani, nimeona nichague upande wa watu wenye akili timamu wanaojua Nini wanataka na wanaofahamu namna ya kuwakabili vilaza
Nilivyoona Dudu Baya anawasema vibaya Waziri Katambi Live na kumtag yeye pamoja na viongozi bila kufanywa lolote nikasema bhaas!! wamemuons ni asset wao na ni kweli kawachota wengi sana.

Kwa maisha ya wabongo haiwezekani kuwa seriaz muda wote kama ilivyokuwa kabla ya October 29 na baada , nilijua mikazo ni swala la muda tu kabla ya kurudi kwenye default mode
 
Unaonekana kama tupo pamoja, ccm hatuiwezi bora tuungane nayo tu
 
downloadfile-270.png
 
Mwanzo nilidhani tunaweza kuwachomoa pale juu kwa vinyuzi vyetu vya hapa jf, nmegundua kua ccm haitokaa itoke madarakani kwa kutolewa na mtu yoyote yule labda waamue wao wenyewe.

Kinachoweza kuitoa madarakani serikali ni nguvu ya wananchi wenye akili timamu kitu ambacho kwa Tanzania wananchi hao wenye akili timamu hamna, asilimia 90 Wana ubongo wa Bata.

Ewe mwananchi, epuka kuingizwa mkenge na watu wanaoisema vibaya sisiem, nimekuja kugundua Bora ccm Wana akili timamu wanajua wanachofanya kuliko raia wenye ubongo wa Bata 🦆.

Tuiunge mkono serikali maisha yaendelee, yaliyotokea mo29 tusameheane, huu upumbavu mlioufanya wa kuchoma Mali za watu na vituo vya mafuta ndio ulileta mauaji kwenye kuwakabili vibaka.

Tuiunge mkono serikali ya ccm tusonge mbele.
naunga mkono hoja:1Head:
 
Nakukumbusha tu kua hiyo CCM inawenyewe hata hao ndugu zako humu wanaosifu na kuabudu kila siku wajapewa hata uwenyekiti wa mtaa achilia mbali ujumbe wa mtaa

Utakachoweza kupata kwa uhakika ni 7k baada ya kuja ku post huku vi post ucwara
 
Nimechoka kusupport kundi la watu wajinga wanaotolewa kwenye focus kirahisi sana, nimeona Bora ccm wenye akili timamu na kujua Nini wanataka.
 
Hii post yako ya kupima upepo ungeipeleka Facebook au IG huko

Hapa walau kuna wachache wenye akili timamu
Tafuta namna nyingine ya kuuamsha watanzania hii mbinu yako ni ya kitoto sasa

Kutaka kujua maoni ya watu kwa kujifanya una waponda ni mbinu ya kizamani mnoo
 
Mimi sipimi upepo wala ubaridi, Mimi nimeamua kuwasapoti ccm kwa 100%, na pia katika jambo ambalo SITAKI litokee ni hilo kundi la wajinga waamke, natamani walale hivyohivyo siwezi kuwaamsha.
 
Mwanzo nilidhani tunaweza kuwachomoa pale juu kwa vinyuzi vyetu vya hapa jf, nmegundua kua ccm haitokaa itoke madarakani kwa kutolewa na mtu yoyote yule labda waamue wao wenyewe.

Kinachoweza kuitoa madarakani serikali ni nguvu ya wananchi wenye akili timamu kitu ambacho kwa Tanzania wananchi hao wenye akili timamu hamna, asilimia 90 Wana ubongo wa Bata.

Ewe mwananchi, epuka kuingizwa mkenge na watu wanaoisema vibaya sisiem, nimekuja kugundua Bora ccm Wana akili timamu wanajua wanachofanya kuliko raia wenye ubongo wa Bata 🦆.

Tuiunge mkono serikali maisha yaendelee, yaliyotokea mo29 tusameheane, huu upumbavu mlioufanya wa kuchoma Mali za watu na vituo vya mafuta ndio ulileta mauaji kwenye kuwakabili vibaka.

Tuiunge mkono serikali ya ccm tusonge mbele.
Umeamua kurudi shimoni.

Hii vita sio ya kila mtu.
 
Back
Top Bottom