comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Kwenye Nini ? 😂Ilikua ni swala la muda tu,
Vipi leo umelewa ?Mwanzo nilidhani tunaweza kuwachomoa pale juu kwa vinyuzi vyetu vya hapa jf, nmegundua kua ccm haitokaa itoke madarakani kwa kutolewa na mtu yoyote yule labda waamue wao wenyewe.
Kinachoweza kuitoa madarakani serikali ni nguvu ya wananchi wenye akili timamu kitu ambacho kwa Tanzania wananchi hao wenye akili timamu hamna, asilimia 90 Wana ubongo wa Bata.
Ewe mwananchi, epuka kuingizwa mkenge na watu wanaoisema vibaya sisiem, nimekuja kugundua Bora ccm Wana akili timamu wanajua wanachofanya kuliko raia wenye ubongo wa Bata 🦆.
Tuiunge mkono serikali maisha yaendelee, yaliyotokea mo29 tusameheane, huu upumbavu mlioufanya wa kuchoma Mali za watu na vituo vya mafuta ndio ulileta mauaji kwenye kuwakabili vibaka.
Tuiunge mkono serikali ya ccm tusonge mbele.
Dogo kuwa chawaKwenye Nini ? 😂
Kabisa, siwezi kukaa upande wa wadhaifuIlikua ni swala la muda tu,
Nilewe kivip? Mimi sio mtu wa pombe hua inatokea mara Moja Moja sanaVipi leo umelewa ?
Sawa comrade wa mama sa100Kabisa, siwezi kukaa upande wa wadhaifu
Mwanzo nilidhani tunaweza kuwachomoa pale juu kwa vinyuzi vyetu vya hapa jf, nmegundua kua ccm haitokaa itoke madarakani kwa kutolewa na mtu yoyote yule labda waamue wao wenyewe.
Kinachoweza kuitoa madarakani serikali ni nguvu ya wananchi wenye akili timamu kitu ambacho kwa Tanzania wananchi hao wenye akili timamu hamna, asilimia 90 Wana ubongo wa Bata.
Ewe mwananchi, epuka kuingizwa mkenge na watu wanaoisema vibaya sisiem, nimekuja kugundua Bora ccm Wana akili timamu wanajua wanachofanya kuliko raia wenye ubongo wa Bata 🦆.
Tuiunge mkono serikali maisha yaendelee, yaliyotokea mo29 tusameheane, huu upumbavu mlioufanya wa kuchoma Mali za watu na vituo vya mafuta ndio ulileta mauaji kwenye kuwakabili vibaka.
Tuiunge mkono serikali ya ccm tusonge mbele.
Siwezi kuwa chawa daima , ila sijawahi kuunga mkono harakati zozote bongo kwani najua kutegemea ukombozi kwa Watanzania ni kupoteza muda , mimi harakati zangu ni kupambania maisha yangu tuDogo kuwa chawa
Siwezi kuwa chawa daima , ila sijawahi kuunga mkono harakati zozote bongo kwani najua kutegemea ukombozi kwa Watanzania ni kupoteza muda , mimi harakati zangu ni kupambania maisha yangu tu
Kwa nini umetupa taulo mapema kuwa Ccm si bora ungekuwa neutral usitefungamana na pande yeyote kama Mimi ?Nilewe kivip? Mimi sio mtu wa pombe hua inatokera mara Moja Moja sana
Sasa unakaa upande wa mafisadiKabisa, siwezi kukaa upande wa wadhaifu
Sio mafisadi, kwa WATU WENYE AKILI TIMAMUSasa unakaa upande wa mafisadi
Kua neutral haiwezekani, nimeona nichague upande wa watu wenye akili timamu wanaojua Nini wanataka na wanaofahamu namna ya kuwakabili vilazaKwa nini umetupa taulo mapema kuwa Ccm si bora ungekuwa neutral usitefungamana na pande yeyote kama Mimi ?
Mta screenshot sana
Unaweza kuhamia ccm wakati umo ccm muda wote? acha porojo watu hawezi kutoka kwenye fokasi kizembe hivoMwanzo nilidhani tunaweza kuwachomoa pale juu kwa vinyuzi vyetu vya hapa jf, nmegundua kua ccm haitokaa itoke madarakani kwa kutolewa na mtu yoyote yule labda waamue wao wenyewe.