comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
- Thread starter
-
- #21
Raia wenye ubongo wa Bata walishawahi kua na focus? Kubalini ukweli ccm ndio Mwamba wa Africa na duniaUnaweza kuhamia ccm wakati umo ccm muda wote? acha porojo watu hawezi kutoka kwenye fokasi kizembe hivo
Aende zake huko kizimkazi kwani huko hakuna timu za kuzipa hongera?View attachment 3688307Hizi ndio tools za Ccm, inawajuwa akili zenu vizuri.
Nilivyoona Dudu Baya anawasema vibaya Waziri Katambi Live na kumtag yeye pamoja na viongozi bila kufanywa lolote nikasema bhaas!! wamemuons ni asset wao na ni kweli kawachota wengi sana.Kua neutral haiwezekani, nimeona nichague upande wa watu wenye akili timamu wanaojua Nini wanataka na wanaofahamu namna ya kuwakabili vilaza
Unaonekana kama tupo pamoja, ccm hatuiwezi bora tuungane nayo tuNilivyoona Dudu Baya anawasema vibaya Waziri Katambi Live na kumtag yeye pamoja na viongozi bila kufanywa lolote nikasema bhaas!! wamemuons ni asset wao na ni kweli kawachota wengi sana.
Kwa maisha ya wabongo haiwezekani kuwa seriaz muda wote kama ilivyokuwa kabla ya October 29 na baada , nilijua mikazo ni swala la muda tu kabla ya kurudi kwenye default mode
Na ccm kama ccm tushajua namna ya kudili na vilaza, hichi chama kumejaa watu wenye akili timamuView attachment 3688307Hizi ndio tools za Ccm, inawajuwa akili zenu vizuri.
Endeleeni kujifariji
Aende zake huko kizimkazi kwani huko hakuna timu za kuzipa hongera?View attachment 3688307Hizi ndio tools za Ccm, inawajuwa akili zenu vizuri.
naunga mkono hojaMwanzo nilidhani tunaweza kuwachomoa pale juu kwa vinyuzi vyetu vya hapa jf, nmegundua kua ccm haitokaa itoke madarakani kwa kutolewa na mtu yoyote yule labda waamue wao wenyewe.
Kinachoweza kuitoa madarakani serikali ni nguvu ya wananchi wenye akili timamu kitu ambacho kwa Tanzania wananchi hao wenye akili timamu hamna, asilimia 90 Wana ubongo wa Bata.
Ewe mwananchi, epuka kuingizwa mkenge na watu wanaoisema vibaya sisiem, nimekuja kugundua Bora ccm Wana akili timamu wanajua wanachofanya kuliko raia wenye ubongo wa Bata 🦆.
Tuiunge mkono serikali maisha yaendelee, yaliyotokea mo29 tusameheane, huu upumbavu mlioufanya wa kuchoma Mali za watu na vituo vya mafuta ndio ulileta mauaji kwenye kuwakabili vibaka.
Tuiunge mkono serikali ya ccm tusonge mbele.
Ni mawe back to back, ikitoka hapa tunawaletea Mika 30 ya bongo flava, sijutii kujiunga na kuwasapoti ccm maana Wana akili sana, nimechoka kukaa kwenye kundi la wajingaView attachment 3688308Halafu wa dada wanawekwa busy huku, kwisha hamna nchi hapo.
Bro kipepe punguza dharau Ndugu yanguKinachoweza kuitoa madarakani serikali ni nguvu ya wananchi wenye akili timamu kitu ambacho kwa Tanzania wananchi hao wenye akili timamu hamna, asilimia 90 Wana ubongo wa Bata.
Sisi ni kundi la watu wenye akili dhidi ya kundi la manyumbu, we are ccm sisi ndio wenye uwezo wa kuongoza nchiSawa comrade wa mama sa100
Kwani ni uongo?Bro kipepe punguza dharau Ndugu yangu
Nimechoka kusupport kundi la watu wajinga wanaotolewa kwenye focus kirahisi sana, nimeona Bora ccm wenye akili timamu na kujua Nini wanataka.Nakukumbusha tu kua hiyo CCM inawenyewe hata hao ndugu zako humu wanaosifu na kuabudu kila siku wajapewa hata uwenyekiti wa mtaa achilia mbali ujumbe wa mtaa
Utakachoweza kupata kwa uhakika ni 7k baada ya kuja ku post huku vi post ucwara
Huo ni ukweliBro kipepe punguza dharau Ndugu yangu
Hii post yako ya kupima upepo ungeipeleka Facebook au IG hukoNimechoka kusupport kundi la watu wajinga wanaotolewa kwenye focus kirahisi sana, nimeona Bora ccm wenye akili timamu na kujua Nini wanataka.
Mimi sipimi upepo wala ubaridi, Mimi nimeamua kuwasapoti ccm kwa 100%, na pia katika jambo ambalo SITAKI litokee ni hilo kundi la wajinga waamke, natamani walale hivyohivyo siwezi kuwaamsha.Hii post yako ya kupima upepo ungeipeleka Facebook au IG huko
Hapa walau kuna wachache wenye akili timamu
Tafuta namna nyingine ya kuuamsha watanzania hii mbinu yako ni ya kitoto sasa
Kutaka kujua maoni ya watu kwa kujifanya una waponda ni mbinu ya kizamani mnoo
Umeamua kurudi shimoni.Mwanzo nilidhani tunaweza kuwachomoa pale juu kwa vinyuzi vyetu vya hapa jf, nmegundua kua ccm haitokaa itoke madarakani kwa kutolewa na mtu yoyote yule labda waamue wao wenyewe.
Kinachoweza kuitoa madarakani serikali ni nguvu ya wananchi wenye akili timamu kitu ambacho kwa Tanzania wananchi hao wenye akili timamu hamna, asilimia 90 Wana ubongo wa Bata.
Ewe mwananchi, epuka kuingizwa mkenge na watu wanaoisema vibaya sisiem, nimekuja kugundua Bora ccm Wana akili timamu wanajua wanachofanya kuliko raia wenye ubongo wa Bata 🦆.
Tuiunge mkono serikali maisha yaendelee, yaliyotokea mo29 tusameheane, huu upumbavu mlioufanya wa kuchoma Mali za watu na vituo vya mafuta ndio ulileta mauaji kwenye kuwakabili vibaka.
Tuiunge mkono serikali ya ccm tusonge mbele.