Natangaza rasmi, kwa sasa nahamia CCM na kuwaunga mkono

Unaonekana kama tupo pamoja, ccm hatuiwezi bora tuungane nayo tu
Niffer amemshukuru Mama kwa ushindi wa Miss grand 😂

Mimi siwezi kuungana na yeyote harakati zangu ni kujipambania Mimi na familia yangu toka kitambo mpaka sasa
 
Niffer amemshukuru Mama kwa ushindi wa Miss grand 😂

Mimi siwezi kuungana na yeyote harakati zangu ni kujipambania Mimi na familia yangu toka kitambo mpaka sasa
Sawa Mimi napambana na familia pamoja na kukiunga mkono chama changu cha ccm na kuhubiri amani.
 
Usajili mpya.....
Posho ni elfu 7 kwa siku
Sehem ya kazi ni Lumumba
Kazi ni post zote ziwe za kusifia

Hii ndio Gen Z ya Tanzania
 
Ila usisahau kukagua tatizo la afya ya akili!Basi na ufike salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…