Nataraji Kupata Mtoto Mwezi huu na hakia nitamwita Benjamini Netanyahu

Nataraji Kupata Mtoto Mwezi huu na hakia nitamwita Benjamini Netanyahu

Mfalme_wa_Nyika

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2023
Posts
683
Reaction score
1,581
Huyu mwamba anastahili kabisa jina lake liendelee kuwa sehemu ya maisha ya Mwanangu ajaye...
Benjamini Netanyahu ni kiongozi ambaye Israel sijui itampata lini tena baada yake...

Hanaga mbambamba na hacheki na wowote linapokuja suala la kulinda uzayuni na wazayuni....
Kwa heshima namtunuku mwanangu jina la kwanza Benjamini-Netanyahu la mwisho Urassa

Labda kiroho nitamwambukiza mwanangu unyama mwingi wa mwana netanyahu maana namkubali sana
Nimemaliza, povu ruksa
 
Hamas wa Kwamtogole watamsaka kwa gharama zote
 
Na huyo netanyahu kama akiwa shoga ?
Kuna Watu watahisi umeleft group kwa haya mawazo yako kupitia kanuni "awazavyo Mtu rohoni mwake ndivyo jinsi alivyo".

Sisi Wahenga twasemaga "Aisifiaye sana mvua jua imemnyeshea"

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Back
Top Bottom