min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Kwani watu wakihisi unafikiri mimi ninae jijua zaidi ya watu wanaonihisi nita athirika vipi🤔Kuna Watu watahisi umeleft group kwa haya mawazo yako kupitia kanuni "aliwavyo Mtu rohoni mwake ndivyo jinsi alivyo kitabia".
Sisi Wahenga twasemaga "Aisifiaye sana mvua jua imemnyeshea"
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.