Kwani watu wakihisi unafikiri mimi ninae jijua zaidi ya watu wanaonihisi nita athirika vipi🤔Kuna Watu watahisi umeleft group kwa haya mawazo yako kupitia kanuni "aliwavyo Mtu rohoni mwake ndivyo jinsi alivyo kitabia".
Sisi Wahenga twasemaga "Aisifiaye sana mvua jua imemnyeshea"
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Hatari sana. Kiongozi imara mwenye maamuzi magumuNi hatari sana yaani ni kiongozi hajawahi pata tokea
Jibu hojaNi kweli maana inamchukua shoga kumjua shoga yake
Hatari sana Mkuu.Ni kweli maana inamchukua shoga kumjua shoga yake
Haiathiri chochote isipokuwa tu ikiwa mawazo yako ni sahihi basi hata mawazo ya Mleta mada na yangu ni sahihi pia.Kwani watu wakihisi unafikiri mimi ninae jijua zaidi ya watu wanaonihisi nita athirika vipi🤔
Nyie mnashauriwa na wapumbavu mda wote tunawaangalia tuHaiathiri chochote isipokuwa tu ikiwa mawazo yako ni sahihi basi hata mawazo ya Mleta mada na yangu ni sahihi pia.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work
Kumbe wote wanaoikubali Israeli ni Makafiri? Mbona mi ni mbantu ninayeishi kwenye mila na desturi za mababu zangu kama matambiko ila namkubali sana Israeli?Nyie wakristo wa Israel ni wajinga tu halafu mbaya zaidi hata Israel yenyewe hamjawahi kufika mnaisikia tu , Pumbavu zenu
Wapi nimekupangia maisha tofauti na maoni yangu bwashee?Kumbe wote wanaoikubali Israeli ni Makafiri? Mbna mi ni mbantu ninayeishi kwenye mila na desturi za mababu zangu kama matambiko ila namkubali sana Israeli?
Tusipangiane maisha Mkuu na huo ndiyo uhalisia wa Binadamu kuwa tofauti.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Hata Vichaa pia huwaona Watu timamu hawana akili kwa kushindwa kujipakulia vyakula vya bure jalalani.Nyie mnashauriwa na wapumbavu mda wote tunawaangalia tu
Hujanipangia mimi maisha bali umewapangia Wakristo maisha ilihali wapo Wayahudi, Wabudha, Wahindu, Wapagani na Rastafarians wanadunda tu duniani wakikushangaa unavyojishushia hadhi ya upeo kiakili.Wapi nimekupangia maisha tofauti na maoni yangu bwashee?
HatareeeeeeeKwani watu wakihisi unafikiri mimi ninae jijua zaidi ya watu wanaonihisi nita athirika vipi🤔