Natarajia kufunga ndoa, nipe maneno ya hekima yatakayonisaidia

Muombe Mungu tu ,
ila jua wenye imani sana ndo huwa wanapata majaribu makali.
 
[emoji119][emoji119][emoji119]kataa ndoa mimi nmekubali madini yako mkuu
 
Umefanya Maamuzi mazuri na ni Mabaya vile vile.

Umeamua kumaliza furaha ya Maisha yako kwa style hiyo ya Kuoa?
 
Nawashukuru wote kwa michango yetu, siwezi kumshukuru mmoja mmoja, nimeikubali yote isipokua wale waliosema nikubali kua "kitanda hakizai haramu" nikubali pale mke atakapofanya usaliti, hili bado halijaka akilini na naomba Mungu aniongoze katika hili
 
Naamini swali langu litakua la Pekee na Muhimu zaidi.

● Ndoa yako umeiweka katika msingi upi?

maana inajulikana kabisa dhoruba ipo na itakupata tu, vip umepanga utajiokoa na nini
Nimejipanga katika misingi ya uaminifu na uchamungu, simu yangu itakua na password ila yeye kuijua na kuitumia isiwe shida, mpaka sasa simu yangu haina vurugu zozote na sitegemei kuzitafuta (michepuko). naamini kwnye nyumba tukiishi kwa uaminifu na amani nitapata wakatio mzuri wa kutafuta hela.

kama una la kuniongezea ..
 
uzi wako ipo siku utauona ni mchungu utatamani huende kwa jamii forum founder afute huu uzi
 
Mpende mkeo mtarajiwa kwa dhati na mashemshem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…