Habari wakuu,
Mimi ni ME, wiki chache zijazo natarajia kuingia katika ndoa, naomba wenye uzoefu na wanaofahamu mambo wanipe maneno ya hekima yatakayonisaidia kwenye maisha ya ndoa. Usiniambie kataa ndoa kwakua nimeshafanya maamuzi ya kuingia kwenye ndoa.
Natanguliza shukran zangu za dhati.
Kuna tabia hukuwahi kuzijua za mkeo,utazijua ukianza kuishi nae,nyumba Moja,chumba kimoja,kitwnda kimoja.
Weka msimamo wako wazi mapema,bila hivyo Kuna siku utaambiwa ukakate vitunguu,wakati shemeji yupo ana chart insta.
Kama uliaminishwa Ke,Huwa hapigwi,acha hizo mambo,Kuna wakati Ke Inabidi atiwe hata Kofi,akili ikae sawa!!(usipige kuumiza).
Tegemea maneno ya shombo,kama mbona huna Hela/nguvu kama Fulani,usipanik,ukiwa na hasira,Toka ndani,nenda gym,au jogging,au kwa washikqji kwpige story,ukitunza sana mahasira utakuja kupiga mtoto wa watu uue!!
Akizaliwa mtoto,hata kama hufanani nae,(unless awe machina na wewe mbongo),huyo ni wako,mpe jinq,mpende,mtunze.
Ishi maisha unsyotaka wewe,sio kuiga,kama wewe kwa Sasa friji sio kipaumbele,usinunue kwa vile jilani kanunua,wewe nunua gari,nyumba,shamba,anzisha kampuni!
Ni hayo TU kutoka kwa muhenga