Natarajia kufunga ndoa, nipe maneno ya hekima yatakayonisaidia

Natarajia kufunga ndoa, nipe maneno ya hekima yatakayonisaidia

1. Hakikisha anafuata maelekezo unayompa.
2. Akutii kwa sababu wewe ni baba yake mpya.
3. Expect Less.
4. Timiza wajibu wako kama mwanaume.
5. Peleka moto vizuri (wahuni wapo kila mtaa, ni kama mawakala wa Tigo Pesa so ukilegea imekula kwako).

6. Usimchekee ovyo. Ajue kuwa kuna makosa akifanya baba Jane bye bye.

7. Ajue kuwa wewe ndiye uliyeishikilia hiyo ndoa na sio watu wa dini, wazee na watu wengine. She must know that your decision is the last.

8. Usimpe kila kitu anachotaka.

9. Mheshimu.

10. Tumia akili. Women are masters of illusion & manipulation so be care when you are going to deal with any case they present to you.

Mengine wataongezea walume ndago wengine.
 
Habari wakuu,
Mimi ni ME, wiki chache zijazo natarajia kuingia katika ndoa, naomba wenye uzoefu na wanaofahamu mambo wanipe maneno ya hekima yatakayonisaidia kwenye maisha ya ndoa.
Usiniambie kataa ndoa kwakua nimeshafanya maamuzi ya kuingia kwenye ndoa.

Natanguliza shukran zangu za dhati.

Kuchapiwa ni siri ya ndani na kumbuka kitanda hakizai haramu
 
Habari wakuu,
Mimi ni ME, wiki chache zijazo natarajia kuingia katika ndoa, naomba wenye uzoefu na wanaofahamu mambo wanipe maneno ya hekima yatakayonisaidia kwenye maisha ya ndoa.
Usiniambie kataa ndoa kwakua nimeshafanya maamuzi ya kuingia kwenye ndoa.

Natanguliza shukran zangu za dhati.
Jiandae kupiga punyeto bila kupenda, jiandae kushinda kwenye vijiwe vya baa na vijiwe vya kubeti bila kutaka .. mi naenda zangu
 
Kuwa makini sana na watu wanaosema tuko nyuma yako maana ukigeuka unaweza usiwakute Kama kivuli chako mwenyewe ikifika usiku kinakukimbia iweje tu kwa mtu baki

Ijali sana familia yako ndio itakua inafanya usafi wa kung'oa majani kwenye Kaburi lako.
 
Ishi nae kwa akili,narudia tena ishi nao kwa akili
Sahihi hata Biblia 1 Petro 3: 7 inataka mwanaume aishi na mwanamke kwa akili

Ukiona dume zima linasema mke halimuwezii au ndoa imelishinda haliwezi endelea nayo jua hilo dume akili kichwani halina full stop.

Ndio maana viongozi wa dini wengine wakifungisha ndoa huuliza mwanaume kama ana akili timamu kichwani hawaulizi mwanamke wanamkomalia mwanaume

.Wanaume wanaotakiwa kuoa ni wale wenye akili.Mwanaume mjinga mjinga hawezi ndoa au kuishi na mke

Ndoa nyingi zinazovunjika sababu kubwa ni wanaume wasiokuwa na akili wanaooa wakati akili hawana
 
Habari wakuu,
Mimi ni ME, wiki chache zijazo natarajia kuingia katika ndoa, naomba wenye uzoefu na wanaofahamu mambo wanipe maneno ya hekima yatakayonisaidia kwenye maisha ya ndoa.
Usiniambie kataa ndoa kwakua nimeshafanya maamuzi ya kuingia kwenye ndoa.

Natanguliza shukran zangu za dhati.
Jambo la kwanza kuweka akilini ni hakuna mwanamke wa maana kuzidi mkeo,hii itakusaidia kutomchoka,maana ukimkinai haitachukua miaka mitano kuanza kutia nje,mtreat vizuri kipindi hiki Cha kuzaa ili asibebe mimba nje,wanawake hawana shukrani hivyo usije vunjika moyo siku moja Hilo likidhihiri,usipange mipango ya maendeleo ukihesabia kipato Cha mkeo,Mara nyingi kipato Chao hakina mchango kwenye familia
 
Acha ujinga mzabzab, hicho kitu asije kubaliana nacho abadani
Uninga gani sasa kwani wee kama kidume hutombi mbususu zingine? Why mkeo asiitombwee na de liboloz jingine? Acha ubinafsi wewe
 
Ndoa/mapenzi hayana formula maalumu inategemea na nyie wenyewe mmeamua kuiendesha vipi.na kila binadamu ana mapungufu madhaifu yake muhimu kumsoma mwenzio yuko vipi inakuwa rahisi kuishi nae, ndoa ni upendo, huruma msamaha,kustahamiliana lakini sio kwenye upumbavu,simama kama mwanaume kuwa na sauti wewe ndio kiongozi kwa mkeo japo usiwe dictator,mpe nafasi yake kama mke, msaidie shughuli za nyumbani ndogo ndogo sio ubwege ni mapenzi hata kama wajua kupika pika siku moja moja, usisahau vijizawadi vidogovidogo hata vikubwa usipende mambo mazuri ufanyiwe wewe tu mfanyie mkeo mfano vi massage unaweza kurudi home kutoka mahangaikoni umeshakula umeoga ukamwambia mke wangu pole na uchovu njoo ukamfanyia foot massage or back massage or head massage,kubwa kabisa mzee baba hakikisha shughuli ya kitandani unaitoa ya kibabe ebwana eeeh mke atakuwa mtiifu 😁hakikisha ana bao nyingi kuliko wewe foreplay awe na 2 tendo lenyewe 1-2 wewe moja halafu kila siku unabadilika hauna formula maalumu ebwana eeeh unasikia msemo wa wanawake wote mwalimu wao kipofu ana mdomo tu unaelewa msemo huo??
Kingine Mwenyeezi Mungu akijaalia akabeba ujauzito basi ndo kipindi cha kuwa nae karibu kumsaidia kimfariji kumtia moyo mimba inakuja na mabadiliko mengi stahamili, hata akijifungua acha ujinga uzazi aende kwao sijui kwenu kaa nae msaidie mie mume wangu kanisaidia sana kwenye mimba kanidekeza hata kuzaa alisema unakaa home akawa ananisaidia kuogesha mtoto nami nikinywa supu zangu anaondoka kwenye mishe mida karudi ana tu check malezi kanisaidia sana haswa mtoto akiumwa mpaka mtoto anamuelewa zaidi baba yake kuliko mie.
 
Jambo la kwanza kuweka akilini ni hakuna mwanamke wa maana kuzidi mkeo,hii itakusaidia kutomchoka,maana ukimkinai haitachukua miaka mitano kuanza kutia nje,mtreat vizuri kipindi hiki Cha kuzaa ili asibebe mimba nje,wanawake hawana shukrani hivyo usije vunjika moyo siku moja Hilo likidhihiri,usipange mipango ya maendeleo ukihesabia kipato Cha mkeo,Mara nyingi kipato Chao hakina mchango kwenye familia
Sasa kama kipato chao hakina mchango unaoa ili iweje
 
1. Hakikisha anafuata maelekezo unayompa.
2. Akutii kwa sababu wewe ni baba yake mpya.
3. Expect Less.
4. Timiza wajibu wako kama mwanaume.
5. Peleka moto vizuri (wahuni wapo kila mtaa, ni kama mawakala wa Tigo Pesa so ukilegea imekula kwako).

6. Usimchekee ovyo. Ajue kuwa kuna makosa akifanya baba Jane bye bye.

7. Ajue kuwa wewe ndiye uliyeishikilia hiyo ndoa na sio watu wa dini, wazee na watu wengine. She must know that your decision is the last.

8. Usimpe kila kitu anachotaka.

9. Mheshimu.

10. Tumia akili. Women are masters of illusion & manipulation so be care when you are going to deal with any case they present to you.

Mengine wataongezea walume ndago wengine.
Ndoa ni kuoana watu wawili wenye haki sawa ndani ya ndoa

Ulichoandika ni mfumo.dume tu.kuanzia pointi ya kwanza hadi ya mwisho!!

Hiyo sio ndoa ni gereza ambalo.mwanamke anskuwa mfungwa na wewe mwanaume muoaji unakuwa Askari jela!!

Hizo pinti zako sio za kutumika kwa watu waliooana

Za waliooana zinasomeka mfano sio umuheshimu bali muheshimiane

Kila pointi inatakiwa I apply pande zote mbili kwa mpigo.Pointi zako zonalenga upande mmoja tu
 
Ndoa hazifanani yaliyokushinda wewe udisukumize kwa wengine

Muoaji jua hilo.kuwa ndoa hazifanani epuka ushauri kama wa huyu yaliyemshinda

Ksfinge.ndoa kanisani ipate baraka za Mungu

Hao wasiorasimisha asilimia kubwa hata wakizaa huzaa mitoto mijinga mijinga na mizigo kuanzia kwao wenyewe kwenye jamii na na taifa sababu imezaliwa bila baraka ya Mungu
Brother mbali na hoja ningekushauri urudi darasani ujifunze kuandika labda ntakuelewa ulimaanisha nini
 
Habari wakuu,
Mimi ni ME, wiki chache zijazo natarajia kuingia katika ndoa, naomba wenye uzoefu na wanaofahamu mambo wanipe maneno ya hekima yatakayonisaidia kwenye maisha ya ndoa.
Usiniambie kataa ndoa kwakua nimeshafanya maamuzi ya kuingia kwenye ndoa.

Natanguliza shukran zangu za dhati.

Ebr 13:4 SUV​

Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.

--------------------
👆🏻👆🏻👆🏻👆🏻👆🏻👆🏻
Ukiamua kuoa mademu tuachie sisi
 
Habari wakuu,
Mimi ni ME, wiki chache zijazo natarajia kuingia katika ndoa, naomba wenye uzoefu na wanaofahamu mambo wanipe maneno ya hekima yatakayonisaidia kwenye maisha ya ndoa.
Usiniambie kataa ndoa kwakua nimeshafanya maamuzi ya kuingia kwenye ndoa.

Natanguliza shukran zangu za dhati.
Kila la kheri.
Kama sio mfanyakazi wa serikali, kabla hujaingia kwenye ndoa, hakikisha una akiba ya kuendesha familia kwa kipindi kisichopungua miezi sita just in case dharura yeyote inayoweza kukufanya usiwe na kipato ikitokea...
 
Ishi nae kimkakati, lipia mahari ila usi-sign cheti Cha ndoa kanisani wala msikitini namaanisha usirasimishe
Ndoa hazifanani yaliyokushinda wewe usisukumize kwa wengine

Muoaji jua hilo.kuwa ndoa hazifanani epuka ushauri kama wa huyu yaliyemshinda

Kafunge.ndoa kanisani ipate baraka za Mungu

Hao wasiorasimisha asilimia kubwa hata wakizaa huzaa mitoto mijinga mijinga na mizigo kuanzia kwao wenyewe kwenye jamii na na taifa sababu imezaliwa bila baraka ya Mungu
 
Habari wakuu,
Mimi ni ME, wiki chache zijazo natarajia kuingia katika ndoa, naomba wenye uzoefu na wanaofahamu mambo wanipe maneno ya hekima yatakayonisaidia kwenye maisha ya ndoa.
Usiniambie kataa ndoa kwakua nimeshafanya maamuzi ya kuingia kwenye ndoa.

Natanguliza shukran zangu za dhati.
1. Jua kuwa uhuru wako wa kufanya mambo, umepungua hadi kufikia 50%, toka 100%.
2. Kuna aina fulani ya marafiki utatakiwa kuachana nao
3. Usiwe na muda maalumu wa kurudi home. Leo saa 2 usiku, kesho 12 jioni, kesho kutwa saa 4 usiku etc
 
Ndoa ni sawa na gereza la kudumu, na wewe ni sawa na mfungwa wa kifungo cha maisha, kiufupi tafuta mfungwa mwenzio mtakaekaa kwa maelewano, masikilizano, uvumilivu na upendo!!
 
Back
Top Bottom