Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
1. Inabidi ufahamu jambo moja, mwanamke kuacha kutongozwa, ni pale anapofariki.Habari wakuu,
Mimi ni ME, wiki chache zijazo natarajia kuingia katika ndoa, naomba wenye uzoefu na wanaofahamu mambo wanipe maneno ya hekima yatakayonisaidia kwenye maisha ya ndoa. Usiniambie kataa ndoa kwakua nimeshafanya maamuzi ya kuingia kwenye ndoa.
Natanguliza shukran zangu za dhati.
Ukisema udeal na wanaume wote wanaomtongoza, utakosa furaha maisha yako yote ya huo uhusiano wenu.
2. Ishi kwenye kipato chako