Nourhan
JF-Expert Member
- Apr 7, 2023
- 1,196
- 3,026
Harusi ni sunna njema, kitendo cha watu Wema,owaneni mkae daima kwa mapenzi yalo mema.
Mpende mkeo mlezi wa familia tena ni rafiki yako mchunga nyumba nzima,ukija nyumba kwako mkweli mwaminifu mzuri aso khalifu mcheshi mwenye heshima huondosha hamu yako ukija na maudhiko tena mshauri wako mlinda nyumba nzima.
Twawaombea Salama furaha zisizo mfano kwa Baraka na Neema Allah awape afya nzuri na Watoto wa Kheir.
Rahaaatul Aruusi Yauman Washiddatul Aruusi Daaiman Wabaynahumaa Burdan Burdan,(Raha/Furaha ya harusi ni siku 1ambayo hufanyika sherehe,na shida za harusi zipo kila siku mikwaruzo ktk ndoa,na katika hizo raha na shida kunapatikana burudani furaha ilopitiliza.
Kubwa hili nasisitizaga kwa ndugu zangu wote jamani usisahau ibada mtegemee Mwenyezi Mungu mtangulize Allah kwa kila kitu popote atakuvusha salama.