abramaleko
Member
- Feb 22, 2023
- 14
- 48
Habari wakuu karibuni natarajia kununua gari yangu ya kwanza ningependa kupata ushauri wenu kati ya hizi gari Subaru impreza (2009/2008) na crown athlete (2005/2006) au BMW 3 Series (2008).
Target yangu kubwa ni either subaru au crown sababu nimezifanyia research kidogo tofauti na BMW. Mimi sio mtu wa mishe mishe sana mjini kwahio matembezi yangu ni madogo sababu i work from home. Na kwa upande wa mafuta kwa budget yangu at least isizidi 250,000 kwa mwezi.
Naombeni ushauri kati ya hizo gari na yapi ya kuangalia wakati unanua?
Shukrani.