Natarajia kununua gari yangu ya kwanza, naomba ushauri

Natarajia kununua gari yangu ya kwanza, naomba ushauri

Full tank natembelea siku 23-25 ila ss nataka nirecord inakuwa ni km ngap nijue fuel efficiency yake ila najuwa itakuwa sio nzuri sana 🤣
Unaenda dukani na kurudi au unaongelea kutembea vipi??
 
Honda, nipeni experience ya gari Honda CR-V.
SPARE PARTS availability bongo, maintenance cost, na RESALE value, tafadhali
 
Unaenda dukani na kurudi au unaongelea kutembea vipi??
Unajua forester full tank ni kiac gan,,,,,, wakat nilivyonunua crown nilikua nikijaza mafuta full tank,,,, kwenda kazin, msikitin na misele ya hapa na pale nafikisha km 700+, na yalikua yanafika wiki tatu bila kuwasha taa wiki ya nne ndio inawaka. Now niko na premio najaza kila mwez full tank na ninayoboa nayo wiki 4 bila taa kuwaka
 
Recent which?? wew nunua gari ya kujifunzia kama ndo unaanza maisha hizo za mzungu au gari weseee inakula kama ina wazimu aiseee utayachukia magariii, kamata IST..VITZ yani humooo premior nayo inavumilia shida unanunua mzungu hujui hata kuna suala la kuangalia oil kila siku?? maji unajisahau mpaka gari inachemshaaa service ndo unapitisha miezi 6 mbeleee
mzee wa kula tunda kimasiharašŸ˜…,

kwa hyo tusicheke na mjeruman
 
Unajua forester full tank ni kiac gan,,,,,, wakat nilivyonunua crown nilikua nikijaza mafuta full tank,,,, kwenda kazin, msikitin na misele ya hapa na pale nafikisha km 700+, na yalikua yanafika wiki tatu bila kuwasha taa wiki ya nne ndio inawaka. Now niko na premio najaza kila mwez full tank na ninayoboa nayo wiki 4 bila taa kuwaka
Ww acha masihara yani gari yenyewe crown na unasema full tank unaenda km700 umeandika sahihi kweli mkuu?
 
Umeongea sahihi mkuu.

Niliwahi kuishi Lusaka (Zambia) Kwa kipindi fulani, aisee kule ndinga barabarani ni vyuma vya mzungu tu.

Mjapani ni kwenye public transport tu (hiace & co).

Lakini kwenye private ride na government vehicles, chuma za ulaya ndiyo zimejaa kwa road.

Nikawa najiuliza why bongo tunakomaa sana na Toyota? Ni umasikini wa kipato? ama ni umasikini wa fikra (uoga wa maisha)?

-Kaveli-
Ushamba na kuigana bro…

Pia mafund wetu wng unprofessional wao wanajua kugonga nyundo tuu…

Ss ma bm, audi, mazda, sub, nissan hasa hizi last generation n magari zenye umeme mwingi, nguvu kidogo akili nyingi.

Pia bandari yetu tamaa nyingi, roho mbaya n ubadhilifu, gari unanunua dollar elf 3 ila mpaka ulitie barabarani m.20 ww unategemea nn?
 
Ushauri mzuri, kwa amaye taka gari k wa Mara ya kwanza tafuta Toyota premio, ili angalau ukae na gari muda mrefu na Ufurahie kupata usafiri, unaweza pata ajari kwa bahatibaya ukakuta matengenezo tu yanataka pesa nyingi sana tembelea garage angalia ni gari zipi zimepark muda mrefu .
 
Back
Top Bottom