Bac tuu n kuigana na kupumbazana, subaru, nissan, volkswagen, bmw, mercidez, mazda, etc hizi n kampuni bora zinazotoa magari bora n yakisasa yenye masoko makubwa inch za ulaya.
Na bongo ndo inch pekee tunayokomaa na matoyota, tena yale maold fashion, cjui nani katuroga
Tunazidiwa hadi na malawi, zimbabwe, zambia, (kenya, rwanda) ndo hatugusi kabisa.
Mtu ananunua rav4 old ya 1999 tena kwa gharama kubwa sn… gari no safety feature, no comfort, its not luxury…
Wanakomaa na maground clearence eti cjui durable si uchizi huu?
Ww umenunua gari la 1999 mwaka wa 2024 kisa spare nafuu eti durable wakati ikitokea ajari ndogo tuu umekwenda na maji ss ipi faida yake?
Now days tire ikiisha upepo gari inakwambia, dereva ukiwa n fatigue gari inakwambia, kukiwa n utelezi gari inakwambia n tire zina behave according to the road condition.
Airbegs hadi siti za nyuma, suspension zinazosaidia gari kuto kuroll, crash resistance, na safety future kibao… ila still wabongo wanakomaa na TI carina ukiuliza eti bodi gumu “stupid”