Natarajia kununua gari yangu ya kwanza, naomba ushauri

Umemdadavulia vizuri na kwa kirefu sana Nadhani atafanya maamuzi sahihi
 
Chukua pira hilo, utakuja kunishukuru baadae…
Make sure not zile za fourth generation za kuanzia 2013 - 2015, utakuja kulia..

Mnyama huo apo juu, tena nzuri zaid n zile za 2008 - 2009, stylish, power, speed, features za kizalendo, space etc

Changamoto zipo chini sana, hapo n spacer tuu Ya inch 1 au 1.5..
Pia spare zimechangamka kidogo bei zake, sio km za akina toyota. Japo ukifunga umefunga

Kila la heri
 
BMW 3 series kwenye wese sio mbaya compare to crown na hata spare saiv zipo kibao tu, lakini inahitaji matunzo kama slay queen..
Kama you work from home basi vuta crown yako ni gari ngumu na inavumilia shida, pata 6 speed ile ni nzuri zaidi, japo kidebe kitaongezeka kidogo compare na Bmw.....

Karibu kwenye game
 
Kwa nn bongo hizi gari hazizungumzwi sana ? Ni mbovu au ndio tushazoea mjapani?
 
Kwa nn bongo hizi gari hazizungumzwi sana ? Ni mbovu au ndio tushazoea mjapani?View attachment 3136179
Bac tuu n kuigana na kupumbazana, subaru, nissan, volkswagen, bmw, mercidez, mazda, etc hizi n kampuni bora zinazotoa magari bora n yakisasa yenye masoko makubwa inch za ulaya.

Na bongo ndo inch pekee tunayokomaa na matoyota, tena yale maold fashion, cjui nani katuroga

Tunazidiwa hadi na malawi, zimbabwe, zambia, (kenya, rwanda) ndo hatugusi kabisa.

Mtu ananunua rav4 old ya 1999 tena kwa gharama kubwa sn… gari no safety feature, no comfort, its not luxury…

Wanakomaa na maground clearence eti cjui durable si uchizi huu?

Ww umenunua gari la 1999 mwaka wa 2024 kisa spare nafuu eti durable wakati ikitokea ajari ndogo tuu umekwenda na maji ss ipi faida yake?

Now days tire ikiisha upepo gari inakwambia, dereva ukiwa n fatigue gari inakwambia, kukiwa n utelezi gari inakwambia n tire zina behave according to the road condition.

Airbegs hadi siti za nyuma, suspension zinazosaidia gari kuto kuroll, crash resistance, na safety future kibao… ila still wabongo wanakomaa na TI carina ukiuliza eti bodi gumu “stupid”
 

Angalia Garage ya Lugumi kwanza.
 
Alphad gari nzuri sn, ila backup muhimu sn…
Yan kama hilo hilo unaendanalo kazini, misele, family trip, mishen town mzeee litakupopoa vibaya sn…
Ukiwa n alphad lazima uwe n kabebi walker pembeni kwaajiri y mizunguko y kawaida
 
Kwa budget ya 250k kwa mwezi iweke crown pembeni.

Labda kama mda mwingi gari itakua imepaki.

NB: Nina crown 3gr, naongea from experience. Hata 4GR haiwezi kukupa good fuel efficiency.
Its better achukue premio old model
 
Fanya maamuzi,acha kusikiliza ushauri wa watu,hutafanya kitu
 
Mi nataka niende na Toyota voltz, Suzuki Escudo au Mitsubish outlander nipeni uzoefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…