Latest cars zinahitaji michuzi ya uhakikaAchana na gari old model kijana....jichangechange utumie gari recent kidogo zenye upgrade ya vitu vingi including safety features...buy a car inayoweza kukulinda pia siku lolote likitokea
Mkuu gar recent kwa 20m mkuu ni gari gani tushauriane kwanzaAchana na gari old model kijana....jichangechange utumie gari recent kidogo zenye upgrade ya vitu vingi including safety features...buy a car inayoweza kukulinda pia siku lolote likitokea
Bac tuu n kuigana na kupumbazana, subaru, nissan, volkswagen, bmw, mercidez, mazda, etc hizi n kampuni bora zinazotoa magari bora n yakisasa yenye masoko makubwa inch za ulaya.
Na bongo ndo inch pekee tunayokomaa na matoyota, tena yale maold fashion, cjui nani katuroga
Tunazidiwa hadi na malawi, zimbabwe, zambia, (kenya, rwanda) ndo hatugusi kabisa.
Mtu ananunua rav4 old ya 1999 tena kwa gharama kubwa sn… gari no safety feature, no comfort, its not luxury…
Wanakomaa na maground clearence eti cjui durable si uchizi huu?
Ww umenunua gari la 1999 mwaka wa 2024 kisa spare nafuu eti durable wakati ikitokea ajari ndogo tuu umekwenda na maji ss ipi faida yake?
Now days tire ikiisha upepo gari inakwambia, dereva ukiwa n fatigue gari inakwambia, kukiwa n utelezi gari inakwambia n tire zina behave according to the road condition.
Airbegs hadi siti za nyuma, suspension zinazosaidia gari kuto kuroll, crash resistance, na safety future kibao… ila still wabongo wanakomaa na TI carina ukiuliza eti bodi gumu “stupid”
Mzee kama upo njema kwa maana ya kipato chako kiko kwenye level ambayo ukiambiwa inahitajika 1.5-2M ya haraka kwa ajili ya ku replace a failing part inakuwa ni swala la kuomba lipa namba tu nakushauri usijiulize mara mbili. We vuta tu kama ni Polo au Golf.Volkswagen Golf; Volkswagen Polo...
Hiyo mikebe huwa naihusudu sana when it comes to 'baby walkers' option.
Lakini wabongo ni full kutishana sana kuhusu maintenance costs na fuel consumption.
Japo nadhani kwenye 'resale value' yaweza kuwa ni mtihani kidogo, ila wanasema hizo baby walker za mjerumani ni uhakika kwenye Performance; Comfortability; na Safety.
Mkuu Mad Max , hebu siku ukipata wasaha na ikikupendeza, uje na uzi kuhusu hizi chuma za mjerumani, specifically VW golf & Polo.
Vijana tunatamani sana kuonja ladha ya mjerumani, lakini huku kwa ground tunapeana hofu mno kuhusu maintenance ya hiyo mikebe. 😎
Cc: politics observer , Extrovert .
-Kaveli-
Mzee kama upo njema kwa maana ya kipato chako kiko kwenye level ambayo ukiambiwa inahitajika 1.5-2M ya haraka kwa ajili ya ku replace a failing part inakuwa ni swala la kuomba lipa namba tu nakushauri usijiulize mara mbili. We vuta tu kama ni Polo au Golf.
Ila kama ukiambiwa inahitajika spare unasema ngoja nikajipange kwanza kisha gari unaipiga kiturubai mwezi mzima we kimbilia kwenye runX tu au blade master.
Perfomance wise hizo German Toys ni unmatched kwa mjapan. Liko wazi hasa interms of speed, comfort na drive handling dynamics. Zinatulia barabarani sana na speed ni mshale. Kuna kitu ambacho mjerumani huwa anafanya kwenye gari zake ambacho wajapan wengi hawajakijua.
Toyota Raum ?😅Gari za Toyota ambazo hazikufanya vizuri toka zizinduliwe rasmi Japan miongoni mwao ni.
TOYOTA NADIA,,,replaced by Spacio
TOYOTA VISTA ARDEO,,,replaced by Wish
TOYOTA OPA,,,replaced by Wish
TOYOTA BREVIS,,, replaced by Crown
TOYOTA PROGRESS,,,replaced by Premio
TOYOTA VOLTZ
TOYOTA VEROSSA,,,replaced by Mark X
Ndani ya miaka miwili hadi mitatu ya production tu nyingi zilikuwa discontinued Japan hazikuuza vizuri.
Raum ilifanya vizuriToyota Raum ?😅
Kama NADIA mi ndio sijawahi kuielewa mpaka leo hiiGari za Toyota ambazo hazikufanya vizuri toka zizinduliwe rasmi Japan miongoni mwao ni.
TOYOTA NADIA,,,replaced by Spacio
TOYOTA VISTA ARDEO,,,replaced by Wish
TOYOTA OPA,,,replaced by Wish
TOYOTA BREVIS,,, replaced by Crown
TOYOTA PROGRESS,,,replaced by Premio
TOYOTA VOLTZ
TOYOTA VEROSSA,,,replaced by Mark X
Ndani ya miaka miwili hadi mitatu ya production tu nyingi zilikuwa discontinued Japan hazikuuza vizuri.
Haina mvutoKama NADIA mi ndio sijawahi kuielewa mpaka leo hii
Bac tuu n kuigana na kupumbazana, subaru, nissan, volkswagen, bmw, mercidez, mazda, etc hizi n kampuni bora zinazotoa magari bora n yakisasa yenye masoko makubwa inch za ulaya.
Na bongo ndo inch pekee tunayokomaa na matoyota, tena yale maold fashion, cjui nani katuroga
Tunazidiwa hadi na malawi, zimbabwe, zambia, (kenya, rwanda) ndo hatugusi kabisa.
Mtu ananunua rav4 old ya 1999 tena kwa gharama kubwa sn… gari no safety feature, no comfort, its not luxury…
Wanakomaa na maground clearence eti cjui durable si uchizi huu?
Ww umenunua gari la 1999 mwaka wa 2024 kisa spare nafuu eti durable wakati ikitokea ajari ndogo tuu umekwenda na maji ss ipi faida yake?
Now days tire ikiisha upepo gari inakwambia, dereva ukiwa n fatigue gari inakwambia, kukiwa n utelezi gari inakwambia n tire zina behave according to the road condition.
Airbegs hadi siti za nyuma, suspension zinazosaidia gari kuto kuroll, crash resistance, na safety future kibao… ila still wabongo wanakomaa na TI carina ukiuliza eti bodi gumu “stupid”
Hiyo 300k ni elfu 10 kwa siku sasa mafuta ya elfu 10 labda kama kazini ni Km 10 tu ila toka Kimara to Kkoo hapo kishamlambaa...!!250k kwa mwezi ni ndogo ongezea ifike 300K
Premio old model pia inafaa sanaI want to go for an IST or Probox, mbona sioni mkizitaja taja?
Kwa hizo gari alizochagua yeye matumizi yake inamtoshaHiyo 300k ni elfu 10 kwa siku sasa mafuta ya elfu 10 labda kama kazini ni Km 10 tu ila toka Kimara to Kkoo hapo kishamlambaa...!!