Natarajia kununua gari yangu ya kwanza, naomba ushauri

Full tank natembelea siku 23-25 ila ss nataka nirecord inakuwa ni km ngap nijue fuel efficiency yake ila najuwa itakuwa sio nzuri sana 🤣
Unaenda dukani na kurudi au unaongelea kutembea vipi??
 
Honda, nipeni experience ya gari Honda CR-V.
SPARE PARTS availability bongo, maintenance cost, na RESALE value, tafadhali
 
Unaenda dukani na kurudi au unaongelea kutembea vipi??
Unajua forester full tank ni kiac gan,,,,,, wakat nilivyonunua crown nilikua nikijaza mafuta full tank,,,, kwenda kazin, msikitin na misele ya hapa na pale nafikisha km 700+, na yalikua yanafika wiki tatu bila kuwasha taa wiki ya nne ndio inawaka. Now niko na premio najaza kila mwez full tank na ninayoboa nayo wiki 4 bila taa kuwaka
 
mzee wa kula tunda kimasihara😅,

kwa hyo tusicheke na mjeruman
 
Ww acha masihara yani gari yenyewe crown na unasema full tank unaenda km700 umeandika sahihi kweli mkuu?
 
Ww acha masihara yani gari yenyewe crown na unasema full tank unaenda km700 umeandika sahihi kweli mkuu?
Yan nina uhakika,,,, nilikua napata 10 km kwa lita na crown nilikua najaza lita 71 net
 
Ushamba na kuigana bro…

Pia mafund wetu wng unprofessional wao wanajua kugonga nyundo tuu…

Ss ma bm, audi, mazda, sub, nissan hasa hizi last generation n magari zenye umeme mwingi, nguvu kidogo akili nyingi.

Pia bandari yetu tamaa nyingi, roho mbaya n ubadhilifu, gari unanunua dollar elf 3 ila mpaka ulitie barabarani m.20 ww unategemea nn?
 
Ushauri mzuri, kwa amaye taka gari k wa Mara ya kwanza tafuta Toyota premio, ili angalau ukae na gari muda mrefu na Ufurahie kupata usafiri, unaweza pata ajari kwa bahatibaya ukakuta matengenezo tu yanataka pesa nyingi sana tembelea garage angalia ni gari zipi zimepark muda mrefu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…