Natarajia kuwa single, jimbo litakaa wazi

Natarajia kuwa single, jimbo litakaa wazi

Huyu mwanaume nimemchoka. Nitaorodhesha weakness zake hata wewe utaniambia nilipaswa kummwaga zamani.
Sababu z kuachana
1. Mlevi kupindukia
2. Kwa siku anatumia si chini ya laki3
3. Ameoa anaishi na mke kwa siri.
4.
Hivi kwani sikutimizii mahitaji na haja zako? Hujui ya kuwa nilikimbia moto nikaja kwako apate faraja?🤔🙇🏿‍♂ 20240823_153724.jpg
 

Attachments

  • 20240823_153724.jpg
    20240823_153724.jpg
    417.6 KB · Views: 3
Dah! wewe kama umeamua kumuacha tu sawa lakini hakuna anayetumia mamilioni ya pesa kwa mwezi kunywa tu! kazi yake ni ipi na mashahara wake sh. ngap? huo ulevi umemkuta nao au ameanza baada ya kuwa na wewe? je ni mumeo au mpenzi?
 
Back
Top Bottom