Natarajia kuwa single, jimbo litakaa wazi

Natarajia kuwa single, jimbo litakaa wazi

Kuna wizara zina mapesa wee kaa hivyo hivo.

Huyu anaendelesha gari kubwa. V8 na mkewe mim nina ka Mack X

Mchepuko nilifuatilia una subaru...hayo yote anatoa mafuta petrol station tunaitia kiweka tu...siku moja nilivizia pale sheli nikaiona subaru...baada kujaza mafuta nikamfata shell attendant akasema ameweka full tank
- unataka kusema unadate na waziri sio?
 
Pesa na mahitaji anakupa?
Mzagamuo anakupaa? Tena ule uko vyedii?

Km hivyo hapo juu unapataa, shostie baki na huyo Jamaa.
Utakuja kujuta vibaya weyeee? Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna wizara zina mapesa wee kaa hivyo hivo.

Huyu anaendelesha gari kubwa. V8 na mkewe mim nina ka Mack X

Mchepuko nilifuatilia una subaru...hayo yote anatoa mafuta petrol station tunaitia kiweka tu...siku moja nilivizia pale sheli nikaiona subaru...baada kujaza mafuta nikamfata shell attendant akasema ameweka full tank
Si unaona!?

Wewe kinachokusumbua ni wivu kwamba kuna mwanamke mwingine anahudumiwa.

Kama hiki kisa ni cha kweli.
Achana kabisa na mawazo ya kuvunja ndoa.

Zidisha upendo kwa mumeo. Ipo siku atachoka michepuko atabaki njia kuu.kuu.
 
Huyu mwanaume nimemchoka. Nitaorodhesha weakness zake hata wewe utaniambia nilipaswa kummwaga zamani.
Sababu z kuachana
1. Mlevi kupindukia
2. Kwa siku anatumia si chini ya laki3
3. Ameoa anaishi na mke kwa siri.
4.
anaishije na mwanamke,kwa siri? hakuwahi kwambia ana mke? kana hakuai kwambia muache haraka shoga angu
 
Huyu mwanaume nimemchoka. Nitaorodhesha weakness zake hata wewe utaniambia nilipaswa kummwaga zamani.
Sababu z kuachana
1. Mlevi kupindukia
2. Kwa siku anatumia si chini ya laki3
3. Ameoa anaishi na mke kwa siri.
4.
Kweli ni Mlamba asali sana. Kwa siku ana kula 3lacs?

Inaonekana ana stress pamoja na kwamba ana hela...hiyo hela itakuwa sio Halali.
 
Dah! wewe kama umeamua kumuacha tu sawa lakini hakuna anayetumia mamilioni ya pesa kwa mwezi kunywa tu! kazi yake ni ipi na mashahara wake sh. ngap? huo ulevi umemkuta nao au ameanza baada ya kuwa na wewe? je ni mumeo au mpenzi?
May be ni wale wa changombe
 
Wandugu wa KATAA NDOA kwa masikitiko kabisa muda wowote kuanzia sasa baweza nikarudisha kadi ya uanachama. Mabroo lia lia mnipokee nimeshajaa kwenye mfumo
 
Back
Top Bottom