Natarajia kuwa single, jimbo litakaa wazi

Natarajia kuwa single, jimbo litakaa wazi

Pipa na mfuniko...
Nyie ni ndege mnao fanana....
 
Ni upuuzi ulio tukuka kuanza kutaja mabaya ya mtu ulie kua unalala nae mkiwa uchi.
 
Huyu mwanaume nimemchoka. Nitaorodhesha weakness zake hata wewe utaniambia nilipaswa kummwaga zamani.
Sababu z kuachana
1. Mlevi kupindukia
2. Kwa siku anatumia si chini ya laki3
3. Ameoa anaishi na mke kwa siri.
4.
Unaijua laki tatu wewe......???

Yahn kwa mwenz anatumia milion 9 minimun hakuna mwanamke mwenye nyodo ya kumwacha mtu mwenye kipato hiko.
 
Huyu mwanaume nimemchoka. Nitaorodhesha weakness zake hata wewe utaniambia nilipaswa kummwaga zamani.
Sababu z kuachana
1. Mlevi kupindukia
2. Kwa siku anatumia si chini ya laki3
3. Ameoa anaishi na mke kwa siri.
4.
Tuanzie hapa kwanza,kwani wewe ni mke wake au mchepuko au mpenzi...?
 
Huyu mwanaume nimemchoka. Nitaorodhesha weakness zake hata wewe utaniambia nilipaswa kummwaga zamani.
Sababu z kuachana
1. Mlevi kupindukia
2. Kwa siku anatumia si chini ya laki3
3. Ameoa anaishi na mke kwa siri.
4.
Msamehe kama mmefunga ndoa
 
"I'm ready to run for the parliamentary seat. I believe I have the vision, dedication, My goal is to bring sustainable development .
Translation,nipo tayari kugombea jimbo .

Huyu mwanaume nimemchoka. Nitaorodhesha weakness zake hata wewe utaniambia nilipaswa kummwaga zamani.
Sababu z kuachana
1. Mlevi kupindukia
2. Kwa siku anatumia si chini ya laki3
3. Ameoa anaishi na mke kwa siri.
4.

zako.
 
Hahahaaaaa, hamna bhana. Hizo hela ni za jamaa.

Mwanamke anatakiwa apambane kumnusuru jamaa na alcoholsm na siyo kumkimbia.

Nina ndugu yangu, rafiki yangu wa kufa na kuzikana.

Ni Afisa huko nyanda za juu kusini. Ndugu yangu huyu ana tatizo la pombe, tangu asubuhi amelewa hadi kesho.

Mke wake hajamtupa, keshampeleka kwa Mwamposa, wapi, na kila sehemu wala hana mpango wa kumuacha.

Huwa nawaza, labda ni kwa sababu amemuoa bikra?

Maana wakati anaenda kuoa aliniambia kabisa ''mwanangu naenda kumuoa huyo binti, nimemkuta bikra''
Hebu Tulia kwanza...

Huyo jamaa ni Afisa kilimo, Anaishi pembezoni kidogo mwa mji?...

Anasumbuliwa na Tatizo la kisukari kiasi kwamba kuna kipindi alitumiaga Wheelchair na mkewe huyo huyo ndo akawa anamsukuma?...

Amepewa pikipiki ya kutembelea aina ya Boxer na serikali, Mke wake ni mlokole pia Mwalimu wa shule ya msingi?...
 
Huyu mwanaume nimemchoka. Nitaorodhesha weakness zake hata wewe utaniambia nilipaswa kummwaga zamani.
Sababu z kuachana
1. Mlevi kupindukia
2. Kwa siku anatumia si chini ya laki3
3. Ameoa anaishi na mke kwa siri.
4.
Umechelewa sana,tafuta mwenzako ufanye maisha mjijenge pamoja
 
Mtu anaetumia laki 3 kwa siku huyo ni tajiri, kuacha utajiri ni ujinga.

Hayo ya kusema sijui kaoa mke wa siri sijui nini huo ni wivu wako tu.
Kuna wizara zina mapesa wee kaa hivyo hivo.

Huyu anaendelesha gari kubwa. V8 na mkewe mim nina ka Mack X

Mchepuko nilifuatilia una subaru...hayo yote anatoa mafuta petrol station tunaitia kiweka tu...siku moja nilivizia pale sheli nikaiona subaru...baada kujaza mafuta nikamfata shell attendant akasema ameweka full tank
 
Kwa wanaoishi dar kutumia laki 3 sio ajabu, kuna watu wanaingiza hadi 2 or 3 mil kwaiku
 
Back
Top Bottom