Natarajia kuwa single, jimbo litakaa wazi

Natarajia kuwa single, jimbo litakaa wazi

Huyu mwanaume nimemchoka. Nitaorodhesha weakness zake hata wewe utaniambia nilipaswa kummwaga zamani.
Sababu z kuachana
1. Mlevi kupindukia
2. Kwa siku anatumia si chini ya laki3
3. Ameoa anaishi na mke kwa siri.
4.
Mtu anaetumia laki 3 kwa siku huyo ni tajiri, kuacha utajiri ni ujinga.

Hayo ya kusema sijui kaoa mke wa siri sijui nini huo ni wivu wako tu.
 
Mtu anaetumia laki 3 kwa siku huyo ni tajiri, kuacha utajiri ni ujinga.

Hayo ya kusema sijui kaoa mke wa siri sijui nini huo ni wivu wako tu.
Labda mwanamke ndo anapesa..

Lijamaa ndo linatumia vibaya..

Labda 🤔🤔
 
Huyu mwanaume nimemchoka. Nitaorodhesha weakness zake hata wewe utaniambia nilipaswa kummwaga zamani.
Sababu z kuachana
1. Mlevi kupindukia
2. Kwa siku anatumia si chini ya laki3
3. Ameoa anaishi na mke kwa siri.
4.

Ulitarajia nini ku date na mume wa mtu?
 
Huyu mwanaume nimemchoka. Nitaorodhesha weakness zake hata wewe utaniambia nilipaswa kummwaga zamani.
Sababu z kuachana
1. Mlevi kupindukia
2. Kwa siku anatumia si chini ya laki3
3. Ameoa anaishi na mke kwa siri.
4.
 
Jamaa Linachota, linaiba 🤔
Hahahaaaaa, hamna bhana. Hizo hela ni za jamaa.

Mwanamke anatakiwa apambane kumnusuru jamaa na alcoholsm na siyo kumkimbia.

Nina ndugu yangu, rafiki yangu wa kufa na kuzikana.

Ni Afisa huko nyanda za juu kusini. Ndugu yangu huyu ana tatizo la pombe, tangu asubuhi amelewa hadi kesho.

Mke wake hajamtupa, keshampeleka kwa Mwamposa, wapi, na kila sehemu wala hana mpango wa kumuacha.

Huwa nawaza, labda ni kwa sababu amemuoa bikra?

Maana wakati anaenda kuoa aliniambia kabisa ''mwanangu naenda kumuoa huyo binti, nimemkuta bikra''
 
Huyu mwanaume nimemchoka. Nitaorodhesha weakness zake hata wewe utaniambia nilipaswa kummwaga zamani.
Sababu z kuachana
1. Mlevi kupindukia
2. Kwa siku anatumia si chini ya laki3
3. Ameoa anaishi na mke kwa siri.
4.
Kwahiyo hapa unaomba ushauri ama unaturingishia matumizi yake? Wewe bi dada dunia ya leo cha pekeyako kaburi tu, kaa tuliza mshono. Kama ni penzi utapata tu hata kwa jirani ila penzi la dhati utapata kwa Mungu siku ukifa na kuingia peponi!
 
Back
Top Bottom