Natarajia kuwa single, jimbo litakaa wazi

- unataka kusema unadate na waziri sio?
 
Pesa na mahitaji anakupa?
Mzagamuo anakupaa? Tena ule uko vyedii?

Km hivyo hapo juu unapataa, shostie baki na huyo Jamaa.
Utakuja kujuta vibaya weyeee? Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Si unaona!?


Wewe kinachokusumbua ni wivu kwamba kuna mwanamke mwingine anahudumiwa.

Kama hiki kisa ni cha kweli.
Achana kabisa na mawazo ya kuvunja ndoa.

Zidisha upendo kwa mumeo. Ipo siku atachoka michepuko atabaki njia kuu.kuu.
 
Huyu mwanaume nimemchoka. Nitaorodhesha weakness zake hata wewe utaniambia nilipaswa kummwaga zamani.
Sababu z kuachana
1. Mlevi kupindukia
2. Kwa siku anatumia si chini ya laki3
3. Ameoa anaishi na mke kwa siri.
4.
anaishije na mwanamke,kwa siri? hakuwahi kwambia ana mke? kana hakuai kwambia muache haraka shoga angu
 
Huyu mwanaume nimemchoka. Nitaorodhesha weakness zake hata wewe utaniambia nilipaswa kummwaga zamani.
Sababu z kuachana
1. Mlevi kupindukia
2. Kwa siku anatumia si chini ya laki3
3. Ameoa anaishi na mke kwa siri.
4.
Kweli ni Mlamba asali sana. Kwa siku ana kula 3lacs?

Inaonekana ana stress pamoja na kwamba ana hela...hiyo hela itakuwa sio Halali.
 
Dah! wewe kama umeamua kumuacha tu sawa lakini hakuna anayetumia mamilioni ya pesa kwa mwezi kunywa tu! kazi yake ni ipi na mashahara wake sh. ngap? huo ulevi umemkuta nao au ameanza baada ya kuwa na wewe? je ni mumeo au mpenzi?
May be ni wale wa changombe
 
Wandugu wa KATAA NDOA kwa masikitiko kabisa muda wowote kuanzia sasa baweza nikarudisha kadi ya uanachama. Mabroo lia lia mnipokee nimeshajaa kwenye mfumo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…