Natarajia ugeni mzito sikukuu hii kutoka jf (manzi)

Ooooh!! Sasa mwenzangu una mtaji? Maana mie ndio nilikuwa nasaka kibarua ili angalau nipate mtaji wa kujiajiri. Kama mtaji upo nije tu tujiajiri maana hamna namna.
 
Nikipika mwosha vyombo lazima ufurahi, vyombo beseni2[emoji85][emoji85]
 
Ooooh!! Sasa mwenzangu una mtaji? Maana mie ndio nilikuwa nasaka kibarua ili angalau nipate mtaji wa kujiajiri. Kama mtaji upo nije tu tujiajiri maana hamna namna.
[emoji38][emoji38][emoji38]
Yeah Upo Aisee sihitaji wafadhili (mkongo + mmasai[emoji1787][emoji1787] )Vipi huko mtaji upo wa kutosha ? (churaaa [emoji1787][emoji1787])
 
Duh kupika naweza. Wali na mboga etc ila mzigo complicated kama huo kipaji sina. Hongera sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…