Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Kina nani hao?
Naona wazee wa haki sawa wametua kwenye uzi rasmi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona wazee wa haki sawa wametua kwenye uzi rasmi!
Happy Easter dear.
Ooooh!! Sasa mwenzangu una mtaji? Maana mie ndio nilikuwa nasaka kibarua ili angalau nipate mtaji wa kujiajiri. Kama mtaji upo nije tu tujiajiri maana hamna namna.Ndio nasaka kibarua kweny mshamba ya watu baada ya kugive Up [emoji1787][emoji1787]. Nimeona nawe wasaka, Sasa si uje Tupeane kazi (tuajiriane) kuwa kibarua sio mchezo ujue [emoji38][emoji38][emoji38]
Tuajiriane bhana tupeane Mema ya nchi with caution Mana Mimi Mzee wa kuzama [emoji38][emoji38][emoji38]
Hivi mbona wote mko busy na huu uzi? Kwamba maudhui ya huo mualiko yalikuwa nini haswa?[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] mwee kwahiyo ndiyo unanishushua
Sanaaa, sitasahau mara ya kwanza napika egg chop haki nilicheka acha kabisa. Vitu vinatawanyika tu kwa pan.
😂😂😂😂 mwanakulitaka.....Dada angu unaweza matusi na mimi ?
nimeongea utani tu mbona umenitolea lugha chafu ivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali zuri.Wewe mwenzetu swala la kuosha vyombo huwa unalitatua vipi? Au kwako huwa si changamoto?
Nikipika mwosha vyombo lazima ufurahi, vyombo beseni2[emoji85][emoji85]Hahahaha we siyo mtu wa kwanza kusikia unalalamikia kazi ya kuosha vyombo, kwa kweli sijawahi kusikia mtu ananiambia anapenda kuosha vyombo.
Hilo huwa linanifanya hata mimi nipike kwa umakini sana maana vikijazana tu naishiwa nguvu ghafla, ndiyo maana huwa sipendi kupika mboga nyingi.
Unataka kusema kwamba ulitegemea tuwe kwenye happy ending ?? [emoji16][emoji16] muda bado ngoja tule kwanzaHivi mbona wote mko busy na huu uzi? Kwamba maudhui ya huo mualiko yalikuwa nini haswa?
[emoji38][emoji38][emoji38]Ooooh!! Sasa mwenzangu una mtaji? Maana mie ndio nilikuwa nasaka kibarua ili angalau nipate mtaji wa kujiajiri. Kama mtaji upo nije tu tujiajiri maana hamna namna.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haki imebidi na mimi nikaiangalie hiyo comment ili nicheke vizuri, umbea huu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwanakulitaka.....
Aisee![emoji16][emoji16][emoji16] ni shida sana huyu mwanamke angeniulia pacha wangu bora hata waliachana
Unataka kusema kwamba ulitegemea tuwe kwenye happy ending ?? [emoji16][emoji16] muda bado ngoja tule kwanza
😂😂😂😂 umeshaiona sasa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haki imebidi na mimi nikaiangalie hiyo comment ili nicheke vizuri, umbea huu.
Haujambo KD ??
Duh kupika naweza. Wali na mboga etc ila mzigo complicated kama huo kipaji sina. Hongera sana.HERI YA SIKU YA PASAKA WAKUU..
Kama kawaida leo ni sikukuu na hua sikukuu ndio siku ninayo import kazi niliyoilewa jf(piemu) angalau ije nyumbani tusherekee kwa pamoja. Watalaam wanasema jiko la bachela au msela leo linafuka moshi.
Kama kawaida master chef wenu leo nawaletea hatua kwa hatua maandalizi ya chochote kitu mtawakilishwa na huyo mwenzenu kwenye kula[emoji23]..
Karibuni hatua kwa hatua
Maandalizi
Kuku mzima
Kitimoto kg 2
Unga wa ngano
Mayai mawili
Ndizi chaguo lako(mshare au mzuzu)
Viungo muhimu kama chiken masala,pilipili manga,vitunguu thoum,tangawizi mbichi,limao,karot,hoho,matango,chumvi,halil motto,maziwa, n.k
Twende pamoja View attachment 1417063View attachment 1417064View attachment 1417065
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hamjaachana?Aisee!