Khaa yaani wewe hauna tofauti na mama yangu, kiasi kwamba siku akisema anaingia jikoni kutupikia tunamuambia hapana mama acha tu tutapika wenyewe maana tunajua shughuli yake baada ya hapo.Nikipika mwosha vyombo lazima ufurahi, vyombo beseni2[emoji85][emoji85]
Basi nimeshapata jibuKwa mara ya kwanza nakosa cha kukujibu...😳😳
[emoji23][emoji23] [emoji85][emoji85]
Sikuwa najua kama Pacha wangu ni mchochezi hiviBasi nimeshapata jibu
[emoji14][emoji14] Happy EasterSikuwa najua kama Pacha wangu ni mchochezi hivi
kiongozi goli la tatu linatafutwa muda huu sisi tumebaki tunafurahisha genge tu hapa[emoji23]huyo mgeni hajafika tu
Hapa ndio umesemaje pacha😀 😀 😀
Nimeiona, nimekumiss pia totoo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeshaiona sasa?
Sijambo Zoë za kwako? Alafu nimekumiss
NimefurahiHapa ndio umesemaje pacha
AiseeNimefurahi
Nimeiona, nimekumiss pia totoo.
Ule uzi wenu speed yake nimeshindwa, nisalimie kina Saint Anne na Numbisa waambie wawe wanakuja na kwingine basi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Khaa yaani wewe hauna tofauti na mama yangu, kiasi kwamba siku akisema anaingia jikoni kutupikia tunamuambia hapana mama acha tu tutapika wenyewe maana tunajua shughuli yake baada ya hapo.
Shida nini hadi mnatumia vyombo hivyo
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] na wewe naomba nisaidie kuwafikishia salamu hao watoto tafadhali, kina carbamazepine na anko wangu andjul pia usiwasahau.[emoji16][emoji16][emoji16]
Mkongo+mmasai[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji38][emoji38][emoji38]
Yeah Upo Aisee sihitaji wafadhili (mkongo + mmasai[emoji1787][emoji1787] )Vipi huko mtaji upo wa kutosha ? (churaaa [emoji1787][emoji1787])
Sidhani kama naenjoy kuosha vyombo; ila majority wanasema napenda kuosha vyombo. Ila ole wako sasa ujaze masufuriaHahahaha we siyo mtu wa kwanza kusikia unalalamikia kazi ya kuosha vyombo, kwa kweli sijawahi kusikia mtu ananiambia anapenda kuosha vyombo.
Hilo huwa linanifanya hata mimi nipike kwa umakini sana maana vikijazana tu naishiwa nguvu ghafla, ndiyo maana huwa sipendi kupika mboga nyingi.
Nikipika mwosha vyombo lazima ufurahi, vyombo beseni2[emoji85][emoji85]
Kwahiyo ndio mwala? [emoji134][emoji134][emoji134]Unataka kusema kwamba ulitegemea tuwe kwenye happy ending ?? [emoji16][emoji16] muda bado ngoja tule kwanza
Kwani hamjijui? Mbona mmeshakaribiana, nawaona watatu hapo!Kina nani hao?
Mmemaliza chakula kipi? Maana hiki naona bado kimejaa kwa sahani.