Natarajia ugeni mzito sikukuu hii kutoka jf (manzi)

Sidhani kama naenjoy kuosha vyombo; ila majority wanasema napenda kuosha vyombo. Ila ole wako sasa ujaze masufuria

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli mwenyewe hakuna kazi siipendi kama kusugua masufuria japo nyumbani mie ndiyo nasifika kwa kusugua masufuria vizuri, yaani mie kazi nyingi sizipendi ila nikifanya nafanya kweli maana huwa sipendi kulipua.
 
Mie sipendiii halafu ndio nina matumizi mabaya ya vyombo basi taabu tupu[emoji134][emoji134]
Uje uwe unaosha.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] teh kwa kweli ndiyo maana hata Mungu anawasaidia wale wanaojisaidia wao kwanza, mie mtu akitaka nimsaidie vyombo basi awe mtumiaji mzuri akitumia vibaya ataosha mwenyewe. Cha kumsaidia labda nitaosha vyombo nilivyolia mimi tu
 
Simple tu, sikupikii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…