Hahaaa, siyo kwamba browser ndiyo walianza nayo wakina Ngabu na Kiranga enzi za Jambo Forums? App si imekuja hapa kati kati tu
Mimi hilo mangararimo ndiyo jipya ila githeri nishawahi lisikia, wanalitumia sana wakenya sie wabongo tumezoea neno "makande" hilo hatulitumii sana.Githeri? Elimu kidogo (ndio kwanza nakusikia
Mangararimo pia
Vipi huyo mgeni ushamsogezea feni karibu na papuchi??
SanaaApp tamu sana aisee..very easy to navigate..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndiyo mfano weweKama nikikutag mie sio? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna tag / qoute zingine ukiiona Hata nguvu za kuiLike zinakata....
Mtoto manshatallah au sura ka ya bibi yake?
Yes, you and I are communicating.App tamu sana aisee..very easy to navigate..
πππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa kweli kwa hapo niiteni bibi tu, sawa wajukuu zangu.
Oh kande la mahindi mabichi hapana.... Kuna siku mchaga alinipikia ndizi ilinishinda πππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Githeri ni jina la kikenya(sijui ni kikikuyu) ikimaanisha kande la mahindi mabichi. Sasa ukute limepikwa vizuri ni taamuuu. Mangararimo haya ni ya uchagani huko tamuu nayo(sijui inapikwaje napenda tu kula[emoji85][emoji85]
Ni kweli....ila haieleweki.App tamu sana aisee..very easy to navigate..
Jamani jamani....inawezekana lakini kila mtu na taste yake.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wewe unavyoiona app ndivyo mimi ninavyoiona browser, yaani kwanza kulivyo kaa na giza giza vile sijui napaonaje aisee.
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] na vyenye sipendi kusoma comments katika pages ndiyo kabisa
Kande la mahindi makavu yale yamekobolewa? We yale matamu. Ya kuchoma nilikula sana mwaka Jana mpaka nimekinai now Hata nikiyaona mate hayachezi.Mie napenda sana mahindi ila yakiwa inform of kande hapana kwa kweli
ππππ nitakuja tena , ujue me nilisoma Buza secondary? So napaelewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi tegeta kwa nyuki napo utapaita uswahilini ?? Hebu njoo buza huku tukuoneshe namna waswahili tunavyoishi mjini !!
Hahah! Baada ya kuonekana wazee wanapata tabu na Browser ndio wakaamua waje na app kama mkombozi waoHahaaa, siyo kwamba browser ndiyo walianza nayo wakina Ngabu na Kiranga enzi za Jambo Forums? App si imekuja hapa kati kati tu
Acha hizo πππHahaaa, siyo kwamba browser ndiyo walianza nayo wakina Ngabu na Kiranga enzi za Jambo Forums? App si imekuja hapa kati kati tu
Kumbe!! Dah ila ulivyomalizia πππMimi hilo mangararimo ndiyo jipya ila githeri nishawahi lisikia, wanalitumia sana wakenya sie wabongo tumezoea neno "makande" hilo hatulitumii sana.
Si wajua vile wakenya wana sheng mob za kiswahili
hao wanaojifanya cnn kwa sana ndio wenyewe unawaomba vizuri tu kwa kutumia lugha hyo hyo