Natarajia ugeni mzito sikukuu hii kutoka jf (manzi)

Natarajia ugeni mzito sikukuu hii kutoka jf (manzi)

Na kweli ntakua dhahabu kwake na yeye nimkute walau Copper basi [emoji38][emoji38][emoji38]
Ngoja Hivi siwezi kupata kibarua hap kwako Siku moja moja [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tulia hivyo hivyo utampata anaestahili.

Mi mwenyewe natafuta kibarua jamani.
 
Kilichobaki ni kuandaa souce na vinywaji..kazi imekaribia mwisho
IMG-20200412-WA0020.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulia hivyo hivyo utampata naestahili.

Mi meenyewe natafuta kibarua jamani.
Mmmhh sawa Lkn kwa mbali karoho kananiuma, watu Wanakula Mema ya nchi Mimi natazama [emoji38][emoji38][emoji38][emoji134]
Heee Mbona tunaferi Sasa si tupeane hvyo vibarua [emoji3][emoji38][emoji38]
 
Hongera!

Mimi ndiyo naanza kujifunza kupika, nime-subscribe YouTube channel za mapishi niende hatua kwa hatua. Chakula ninachokipika hakifai kuliwa na yeyote kwa sasa isipokuwa mimi mwenyewe maana!!!!
 
Hahahahaha mimi nimeanza kuishi maisha ya getho toka form 1 lazima ningejua tu..na nikiwa shule ya msingi bi mkubwa alikua anakikundi cha kupika sasa nazunguka nao nilikua napata mawili matatu.

Back
Top Bottom