Breki ya Kenge
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 715
- 1,004
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia hivyo hivyo utampata anaestahili.Na kweli ntakua dhahabu kwake na yeye nimkute walau Copper basi [emoji38][emoji38][emoji38]
Ngoja Hivi siwezi kupata kibarua hap kwako Siku moja moja [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakiivi tu jamani?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3],siyo kila kitambi ni cha msosi mkuu, hiki nimezaliwa nacho, huwa nakula kuku nusu tu na juice box zima[emoji14]
Ndio nimemaliza hapa..ila naona vant limeisha nataka nikafuate jingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwee app ya JF inanikatili sana na notifications! Yaani kumbe nimeitwa kwenye misosi ila nimechelewa kuona? [emoji2296][emoji2296]
Serious nije kesho?ama tusubiri corona ipite?[emoji23]
AbeeHahahah situmii pombe
Mmmhh sawa Lkn kwa mbali karoho kananiuma, watu Wanakula Mema ya nchi Mimi natazama [emoji38][emoji38][emoji38][emoji134]Tulia hivyo hivyo utampata naestahili.
Mi meenyewe natafuta kibarua jamani.
Aisee hongera sanaKilichobaki ni kuandaa souce na vinywaji..kazi imekaribia mwishoView attachment 1417272
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16] teh, nimefika mwika.
(LG)Life is Goodukimaliza karibu tuenjoy kuku na pombe plus Good sex..
Hongera!
Mimi ndiyo naanza kujifunza kupika, nime-subscribe YouTube channel za mapishi niende hatua kwa hatua. Chakula ninachokipika hakifai kuliwa na yeyote kwa sasa isipokuwa mimi mwenyewe maana!!!!