Natatua vipi hii changamoto

Natatua vipi hii changamoto

Hio hapo
 
Attachments

  • MINENE_20231112_061604.jpg
    MINENE_20231112_061604.jpg
    682.3 KB · Views: 8
Fundi aliyepaua hapo amekosea, ilitakiwa upande dume wa bati uwe chini, upande jike uwe juu ambapo kama angefanya hivi hiyo mianya isingekuwa inaonekana lakini pia katika upauaji direction ya kutoka kushoto kwenda kulia au kulia kwenda kushoto inategemea na orientation ya bati la kwanza lilivyowekwa katika upande husika
 
Suluhu yake pasipo kun'goa ni nini mkuu ili zikae sawa
 
Back
Top Bottom