goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 978
- 1,237
Kati ya kiungio cha bati na bati kuna nafasi (bati hazijashikana) kama inavyoonekana japo haivuji.
Mwenye uwezo wa kusolvu hilo changamoto bila kutoa bati anipm. Nipo Mwanza
Mwenye uwezo wa kusolvu hilo changamoto bila kutoa bati anipm. Nipo Mwanza