Natauta mwanaume mwenye mapenzi ya kweli

Natauta mwanaume mwenye mapenzi ya kweli

Mapenzi ya kweli ndio nini!!
Au huwa yakoje?
 
Natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya kweli
sifa zangu
  • umbo ---wa kati
  • rangi-mweusi
  • dini-mkristo
  • umri-26
  • kazi-nimeajiriwa sekta binafsi
Sifa za ninae mtaka awe maji ya kunde,mristo,mjasiriamai,umri 29 kuendelea

karibuni
Rangi yangu ni chokoleti, ila huko kwingine its OK. Can I press the + button?
 
mbona wengi mnasubiria hii kitu? kumbe wenye kiu ni wengi eeeh, wala usijali mm nitajenga na si kuvuruga
sawasawa umwambie mm ni chaguo sahii kati ya wote,pia mm nina hofu ya Mungu.
usisahau
 
Natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya kweli
sifa zangu
  • umbo ---wa kati
  • rangi-mweusi
  • dini-mkristo
  • umri-26
  • kazi-nimeajiriwa sekta binafsi
Sifa za ninae mtaka awe maji ya kunde,mristo,mjasiriamai,umri 29 kuendelea

karibuni

"Love possesses not nor would it be possessed; For love is sufficient unto love. And think not you can direct the course of love, if it finds you worthy, directs your course. Love has no other desire but to fulfil itself."
 
Natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya kweli
sifa zangu
  • umbo ---wa kati
  • rangi-mweusi
  • dini-mkristo
  • umri-26
  • kazi-nimeajiriwa sekta binafsi
Sifa za ninae mtaka awe maji ya kunde,mristo,mjasiriamai,umri 29 kuendelea

karibuni

Nipo tayari Nina kazi na kiwanja tujenge nyumba
 
Natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya kweli
sifa zangu
  • umbo ---wa kati
  • rangi-mweusi
  • dini-mkristo
  • umri-26
  • kazi-nimeajiriwa sekta binafsi
Sifa za ninae mtaka awe maji ya kunde,mristo,mjasiriamai,umri 29 kuendelea

karibuni
+mwenye pesa
 
Sifa zote ulizozitaja ninazo ni kama ulikuwa unanitafuta mimi maana sifa zako ndo sifa ambazo nami nilikuwa nazitafuta nadhani Mungu kaamua kutuunganisha niko tayari kabisa
 
Wa aina hii wapo
Ila wameshaoa
 
Natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya kweli
sifa zangu
  • umbo ---wa kati
  • rangi-mweusi
  • dini-mkristo
  • umri-26
  • kazi-nimeajiriwa sekta binafsi
Sifa za ninae mtaka awe maji ya kunde,mristo,mjasiriamai,umri 29 kuendelea

karibuni
Mshahara na marupurupu ?
 
Sifa zote ulizozitaja ninazo ni kama ulikuwa unanitafuta mimi maana sifa zako ndo sifa ambazo nami nilikuwa nazitafuta nadhani Mungu kaamua kutuunganisha niko tayari kabisa
 
Natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya kweli
sifa zangu
  • umbo ---wa kati
  • rangi-mweusi
  • dini-mkristo
  • umri-26
  • kazi-nimeajiriwa sekta binafsi
Sifa za ninae mtaka awe maji ya kunde,mristo,mjasiriamai,umri 29 kuendelea

karibuni
Hapo sasa kidogo nimekosa...ngoja niweke sifa zangu..kwanza, UMBO wa KATI
. UREFU futi 5 inch 6 rangi brown....dini MUSLIM
..Umri 37"kazi SEA MAN.."sasa sijuwi nitakuwa..kwenye nafasi gani kwko..ila kikwazo hapo ni DINI tu...ila na hata mimi napenda msichana mweupe... Sijuwi tunafanyaje mchumba mtarajiwa
 
Natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya kweli
sifa zangu
  • umbo ---wa kati
  • rangi-mweusi
  • dini-mkristo
  • umri-26
  • kazi-nimeajiriwa sekta binafsi
Sifa za ninae mtaka awe maji ya kunde,mristo,mjasiriamai,umri 29 kuendelea

karibuni
Check dis 0789586340
 
Na je, mwenye sifa hii pia anafaa? Maji ya kunde ya kupigwa polish, umri wa kati na mvulana BIKRA
 
Back
Top Bottom